MAJANGAZZ DAKTARI JIJINI MWANZA AFIA GESTI
Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi.MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba...
View ArticleKauli ya Ommy Dimpoz baada ya tuhuma za kuvaa viatu vya kike.
Hii stori ilianza baada ya kutoka kwa jarida la Vibe Magazine ambalo lilitoka wiki iliyopita,mbele ya jarida hilo kulikua na picha ya Ommy Dimpoz akiwa kakaa huku miguu akionekana na mavazi ya...
View ArticleRAY C APIGWA DONGO BAYA KWA JINSI ALIVYOJICHUBUA USONI
Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi...
View ArticleMAJUNGU TUPA KULE..!HUU NDIO UKWELI KUHUSU MAHUSIANO YA BOND NA WASTARA...
ANATOKA KIMAPENZI NA WASTARA?Nakukubali sana kaka Bond lakini napenda kukuuliza kwamba kuna madai kuwa unatoka kimapenzi na Wastara Juma (mwigizaji). BOND: Siyo kweli. Mimi ni meneja wa Wastara. Pia...
View ArticleTazama jinsi Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift na...
Ni video kamili ikionyesha kilichotokea kwenye lifti ambapo rapper Jay Z anaonekana akipigwa na shemeji yake ambae ni Solange kwa muda usiopungua dakika 2 kwa kutumia pochi na mateke na baada ya hapo...
View ArticlePICHA MBALIMBALI ZA WASTARA AKIVISHWA PETE YA UCHUMBA HUKO LONDON NA MPENZI...
Wastara akivishwa pete ya uchumbaFrom London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume...
View ArticleMCHUNGAJI APATWA NA GONJWA LA AJABU WATOTO WAKE WAMTENGA
Mchungaji Mary Izengo.MARY Izengo (52), mkazi wa Kijiji cha Umanda- Msalala, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza anateseka kiasi cha kutamani afe kufuatia gonjwa la ajabu alilonalo huku akisema ndugu,...
View ArticleAvunja Ndoa yake kwa kutamani maisha ya Wema Sepetu.....
Kuiga ni kawaida kwa wengi.Wapo walioiga mambo fulani na hatimaye wakafanikiwa, na pia wapo walioiga vitu flani wakaharibikiwa.Huyu aliiga na akaharibu kila kitu...Ni msanii wa...
View ArticleUSIOMBE UKAPATWA NA GONJWA HILI, NDUGU NA WATOTOT WAMTENGA MAMA HUYU
MARY Izengo (52), mkazi wa Kijiji cha Umanda- Msalala, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza anateseka kiasi cha kutamani afe kufuatia gonjwa la ajabu alilonalo huku akisema ndugu, wakiwemo watoto wake...
View ArticlePicha za utani uliosambazwa baada ya Solange kumpiga ‘shemeji’ Jay Z
Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa pembeni yao akishuhudia ugomvi bila kujihusisha wala kuzuia,...
View ArticleEXCLUSIVE;PHOTOS-WASTARA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA HUKO LONDON UK
Wastara akivishwa pete ya uchumbaFrom London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupoLondon Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume...
View ArticleDUU HII NI HATARI SANA FUNGUKA HAPA UJIONEE MAMBO HAYA
Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.Khadija Yusuf akiimba.Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.…Akiwaimbisha mashabiki.Mashabiki wakiserebuka kivyao.Shabiki akijimwaya.Kijana aliyetuhumiwa...
View ArticleDAVIDO AIINGIA MATATANI KWA HIKI KITENDO ALICHOKIFANYA
Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris...
View ArticleKANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU,WAUMINI NAO WAJAA KANISANI BILA YA...
KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu kufuatia bi harusi kuwa na matatizo ya wazi ya akili,Bibi na...
View ArticleMAPACHA WAZALIWA WAKISHIKANA MIKONO
Mama wa mapcha hawa amesema mapacha wake ni zawadi kubwa kwakeMama mmoja nchini Marekani, amejifungua mapacha waliozaliwa wakiwa wameshikana mikono.Watoto hao pia walikuwa wanapumua bila usaidizi...
View ArticleMAVAZI YA MREMBO JOKATE YA WADATISHA WANAFUNZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)
Wakatu Mrembo Jokate akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam,wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego...
View ArticleUKISTAAJABU YA MUSA UTASHANGAA YA FILAUNI, MWANAMKE ALIYEOLEWA ANAISHI NA...
Maria Butzki na wapenzi wake, Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia)Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao wanajifahamu, lakini...
View ArticleHADI HUZUNI KWA JINSI RAY C ALIVYO JICHUBUA..LAZIMA UMUONEE HURUMA
Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi...
View Article