Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UKISTAAJABU YA MUSA UTASHANGAA YA FILAUNI, MWANAMKE ALIYEOLEWA ANAISHI NA MUME NA BOYFRIEND NYUMBA MOJA

$
0
0

Maria Butzki na wapenzi wake, Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia)

Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao wanajifahamu, lakini huko Uingereza mwanamke mmoja ameamua kuishi na wanaume wake wawili nyumba moja, mmoja ni mume wake wa ndoa na mwingine niboyfriend wake
Mwanamke huyo Maria Butziki (33) mama wa watoto wawili anauita uamuzi huo kuwa ni perfect solution ya tatizo lililokuwa linamtatiza la kushindwa kumuacha yeyote kati yao sababu anawapenda wote.
Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaume wote wawili wamekubaliana na uamuzi huo na wanaishi kwa furaha kama familia moja pamoja na watoto wawili wa Maria. Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na kuanzisha uhusiano na Peter kabla hajagundua kuwa moyo wake hauwezi kumsahau mumewe na wakati huo huo hawezi kumuacha Peter. 

Upande wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza kuwa ni mkt makini.
Upande wa Peter naye amesema anaelewana vizuri na mume wa mpenzi wake na wala haoni wivu kushirikiana naye mpenzi .

Pamoja na kuwa wana mahusiano ya kimapenzi lakini Maria amesema huwa hajichanganyi nao chumba kimoja, boyfriend hulala kwenye kochi wakati mume ana chumba chake na Maria hulala na mtoto wake mkubwa wa kike. 

Najua unaweza kuwa unajiuliza watatu hawa wanautaratibu upi katika swala la kushiriki tendo la ndoa, Maria amesema mmoja kati yao anapokuwa ametoka basi aliyebaki ndio anapata nafasi ya kufanya naye mapenzi lakini hawajawahi kuzungumza kwa pamoja kuhusu swala hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>