Hali si shwari baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi “Ray C aka Ray Casper the friendly ghost ..Smh who slapped her face with a bag of flour on the face. Elephant arms ndio zake Looool momo tingz…” yaani akimaanisha Ray C ni jini rafiki yake akimuuliza ni nani aliyempiga na gunia la unga mweupe usoni mwake.Duh! noma sana….we unaonaje hili swala?
↧