Muziki wa dansi Tanzania Mei 15 ulipata msiba ambao umekua ni pigo kwao na Tanzania kwa ujumla,ni msiba wa Amina Ngaluma ‘Japanese’ ambae amefanya kazi kwenye bendi tofauti tofauti hapa Tanzania ikiwemo African Revolution ‘Tam Tam’ pamoja na Double M Sound.Taratibu za mazishi kwa mujibu wa mume wa Marehemu Amina Ngaluma Mr Rashid Sumuni amesema wanasubiri mwili wa marehemu ufike na unategemewa kuingia wiki ijayo kutoka Thailand alipokua akifanyia kazi.Taratibu za mazishi Sumuni amesema kuwa mwili utazikwa maeneo ya huko huko Kitunda Machimboimefika hadi nyumbani kwa marehemu ulipo msiba huu ,hizi ni baadhi ya picha za nyumbani kwa marehemu.
Nyumbani kwa Amina Ngaluma sehemu ulipo pia msiba huu.