GARI NDOGO AINA YA RAV 4 YASABABISHA AJALI MBAYA NA KUPELEKEA DERAVA WA...
Ajali mbaya imetokea muda mchache uliopita katika lango Kuu la kuingilia katika Mahakama ya mjini Tabora. Ajali hiyo imehusisha Gari ndogo aina ya Rav 4 yenye usajili wa namba T516 ALA ambayo ilikuwa...
View ArticleHIVI NDIVYO Nyoka alivyo toka ndani ya begi kwenye daladala watu wachanganyikiwa
Mwanafunzi mmoja alikuwa amekaa kwenye daladala anaandika sms,huku ameshika begi lake.Mzee mmoja wa kiswahili kando yake akaanza kuangalia dogo anaandika nini.Dogo alipogundua anachunguliwa akaamua...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA WEMA SEPETU AKIWA NA MAMA MKWE WAKE "MAMA YAKE DIAMOND...
Habari ndo hiyo mtu na mamy akeeeeee... wacha movie iendelee
View ArticleAGNESS MASOGANGE, JOKATE KIDOTI, HAMISA NA PENNY NI SHIDAA AISEE...!
Masogange kama kawa..umeona Tatoo hiyo ubavuniHizi ndizo pichaz zilizomek gumzo huko instagram leo.. Hamisa...No COMMENT upo hot sana kwasasa..Hauniangushagi Mama KIDOTPenny...Nakupendaga Bure!!!
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU NA WASIFU WAKE
TAREHE 17.05.2014SAA 1.00 ASUBUHI CHAISAA 4.00-5.00 CHAKULA CHA MCHANASAA 5.00-6.00 KUAGA MWILISAA 6.00-7.00 MISA KATIKA KANISA KATOLIKI MWANANYAMALASAA 10.00 SHUGHULI ZA MAZISHI MAKABURI YA...
View ArticleJini Kabula Amteka Kimapenzi Madee Wanaongozaja kama Kumbi Kumbi
Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee , Habari zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama...
View ArticleMBURULAZZZ .UVAAJI WA MAVAZI YA NUSU UCHI TZ, SERIKALI HAILIONI HILI?!UKIMWI...
Miongoni mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe ufanya mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo zinaonesha maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati...
View ArticleMAJANGAZZ MUME AMFANYIA UKATILI WA KINYAMA MKEWE
Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake.Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri, Risasi Jumamosi lina simulizi hii ya kusikitisha. Tukio hilo...
View ArticlePicha za nyumbani kwa Amina Ngaluma usiku huu wa Mei 16.
Muziki wa dansi Tanzania Mei 15 ulipata msiba ambao umekua ni pigo kwao na Tanzania kwa ujumla,ni msiba wa Amina Ngaluma ‘Japanese’ ambae amefanya kazi kwenye bendi tofauti tofauti hapa Tanzania...
View ArticleManeno ya Madee kuhusu uhusiano wake na Jini Kabula,sikiliza kupitia You...
Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki...
View ArticleHUWEZI KUAMINI..YULE MDADA MKALI WA VIDEO YA ICE CREAM YA NOORAH ENZI ZILE...
Aliyekuwa video Queen wa wimbo wa Noorah "Ice Cream" akimshirikisha Suma Lee uliosumbua station za tv kibao Tanzania takriban miaka 6 iliyopita, sasa ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya...Video...
View ArticleKABURI LA SHEHE YAHYA LAJENGWA KIKRISTO..FAMILIA YAJA JUU, KUBOMOLEWA TENA..!
MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa...
View ArticleHATARI!!! GONJWA JINGINE LAIBUKA
Mbu wa Aedes aegypti anayesambaza gonjwa hatari la Chikungunya pamoja na homa ya Dengue.Majanga! Huku hali ya sintofahamu ikiendelea kuwakumba wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam na nchi nzima...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY /JUMAMOSI 17/5/2014 LIVE!!
.................................
View ArticlePICHA ZA UTUPU SI MCHEZO
Tunaendelea kupata mtiririko wa mahojiano ya mwingizaji Nuru Nasoro ‘Nora’ tuliyoanza wiki iliyopita, karibu: Mwigizaji mkongwe wa tasnia ya filamu za kibongo Nuru Nasoro ‘Nora’Gladness: Unawaambia...
View ArticleMwanamke aliehukumiwa kifo kwa kubadili dini na kuolewa na mume Mkristo
Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo.Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa...
View ArticleMwanamke wa kizungu wa Rwanda aliyekuja Dar ili Diamond amuimbie wimbo wa...
Kama Diamond Platnumz angekutana na Eiden usiku wa kuamkia Jumamosi ya leo, huenda angemfanya mwanamke huyo wa kizungu kuwa mwenye furaha kuliko watu wote duniani. Mwanamke huyo ambaye usiku huo...
View ArticleWEMA, AUNT WAMWINGIZA MKENGE JB
IMEKULA kwake! Wauza nyago kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wamemuingiza mkenge staa mwenzao, kaka mkubwa Jacob Steven ‘JB’ baada kukubali mwaliko kisha kumkatalia...
View Article