Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

AUNT EZEKIEL AFANYA KUFURU ILALA ATUNZA MILIONI MOJA NA USHEKHE KWENYE SHUGHULI YA SHOGA YAKE ZAWADI KIBIRITI

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake picha na www.burudan.blogspot.com
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti 
picha na www.burudan.blogspot.com

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti picha nawww.burudan.blogspot.com
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake 
picha na www.burudan.blogspot.com

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekielwa pili kushoto na wapambe wake wakienderea kutunza

Baadhi ya wake wa wanamziki wa bendi ya msondo ngoma wakishudia shughuli hiyo picha nawww.burudan.blogspot.com
Lucy bandawe nae alikuwepo


watu waliodhulia
wake wa wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakiwa katika picha ya pamoja picha na www.burudan.blogspot.com
lucy bandawe
waalikwa
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>