↧
Leonard ambaye alikuwa akiishi Buguruni jijini Dar, alifariki dunia Mei 10, mwaka huu kwa Ugonjwa wa Malaria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jirani mmoja ambaye hakutaka jina lichorwe gazetini, Leonard alikuwa na ugomvi na familia yake na aliapa kutokanyaga kwao mkoani Mbeya tangu alipokwenda kumzika bibi yake, zaidi ya miaka mitano iliyopita.“Tangu nijuane na Leonard zaidi ya mwaka wa tano, hajakanyaga kwao.