Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni! Ngoma za Vigodoro Chanzo

$
0
0


Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo (Kigodoro) kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>