

Mpya imetokea wiki iliyoisha katika uwanja wa Nyayo stadium ambako kulikua na sherehe za kitaifaambapo kulikua na ulinzi mkali sana kiasi kwamba kila mtu aliyeingia katika uwanja huo alikaguliwa. Ndani ya uwanja alitakiwa kuingia mtu tu bila ya mzigo mwingine wowote hata kama una chupa ya maji hukutakiwa kuingia nayo.PICHA ZAIDI HAPA>>>>>