"Hatimae nimekamilisha mikutano na ziara yangu ktk jiji la Paris. Asante sana Mungu, Asante sana Serikali ya Ufaransa. Mwisho Asante watanzania wenzangu kwa kuwa nami ktk kila hatua. Mungu ibariki Tanzania,. Wanaparis ukarim wenu sitausahau. By by by Paris. Hodi Tanzania."