@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-OK LEO WANANCHI WENGI SANA WAMEJITOKEZA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KUONA MWILI WA MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOX NA ALIYEFARIKI JUZI AKIAGWA KABLA YA KWENDA KUZIKWA, WANANCHI WENGI WAMEONYESHA MASIKITIKO MAKUBWA SANA NA THIS CASE, NINASEMA HIVI PEOPLE WACHENI UNAFIKI WA AJABU HIVI MTAANI KUNA WATOTO WANGAPI WANAHANGAIKA NA TUNAWAPITA KWENYE TRAFFIC LIGHT BILA HATA KUWAANGALIA LEO KWELI WANANCHI WOTE HAWA KWENYE PICHA WANA UCHUNGU WA KWELI NA MTOTO HUYU TU, HAWA WA MTAANI VIPI? I MEAN HUU NI UNAFIKI WA AINA GANI JAMANI? - I MEAN I UNDERSTAND ONE CASE ILIYOTANGAZWA KILA KONA KWA SABABU INAUZA KWENYE MEDIA BUT HOW ABOUT HAWA WATOTO WA MTAANI WANAOHANGAIKA ALL THE TIMES HIVI NI KWELI HAWAFI? SASA KAMA KWELI WE ARE SERIOUS HIYO ATTENTION YA LEO UWANJA WA JAMHURI TUIHAMISHIE KUSAIDIA WATOTO WA MTAANI, OTHERWISE TUNAKUWA THE WORST NATION IN THE WORLD KWA UNAFIKI!!, JUST THINKING ALOUD NA JIONI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ