$ 0 0 Mkurugenzi wa Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Martin Kasyanju ametangaza kuwafukuza kazi wafanyakazi 7 wa shirika hilo kwa kuomba rushwa ya Shillingi Millioni moja kwa mteja wa Shirika hilo huko Moshi Bw. Baltazary Ali. ...habari kamili zinakuja!!