STAA wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ anateswa na picha alizopiga na rafiki yake kipenzi, marehemu Sheila Haule ‘Recho’.
Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ akiwa kwenye picha ya pamoja na marehemu Recho Haule.
Picha hizo zinamuonesha Odama akiwa kat
ika pozi tofauti ndani ya viwanja mbalimbali vya starehe kitu kinachomfanya kutamani kuzifuta zote katika simu yake. “Namshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri katika kulikubali suala hili ingawa linanitesa sana,” alisema Odama.