Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

AMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

$
0
0
Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wake
Habari picha toka  tamasha la uzalendo na
uzinduzi wa video ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote za Tanzania.

 Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza
Mzee Chilo akiwa na Diamond

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>