VERA ACHANWA MBAYA HUKO TWITA: KAMA WEWE ULIPATA DIVISION 5 HII HAIKUHUSU AU...
Mara baada ya hivi karibuni alipofanyiwa INTAVYUU kwenye kituo cha TV nchini Kenya ..Mwana dada VERA SIDIKA amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya watu kumshambulia kwenye mtandao wa TWITTER...
View ArticleLULU AKERWA NA KITENDO CHA NANDO WA BBA KUHUSU KUJINADI KUWA NI DEMU WAKE.....
MTOTO MZURI BONGO MOVIES, ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’ AMEIBUKA NA KUFUNGUKA KUWA AMEKERWA NA KITENDO CHA MSHIRIKI WA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA (BBA) 2013, AMIR KHAN NANDO KUJINADI KUWA ALIWAHI KUWA...
View ArticleINAUMA:MUME WA RECHO AIKIMBIA,NYUMBA NI BAADA YA MZIMU WA RECHO KUMTESA
Inauma sana! Zikiwa zimekatika takriban siku 18 tangu alipofariki dunia aliyekuwa staa wa sinema za Kibongo, Sheila Leo Haule ‘Recho’ (26) na mwanaye, imefahamika kuwa mzimu wake bado unamtesa mumewe,...
View ArticleWASTARA AAMUA KUFATA NYAYO ZA JAFARAI. HII NDO BIASHARA ALIYOFUNGUA.
Wastara akiosha kari kwenye ufunguziMtangazaji wa kipindi cha action and cut Bond bin sinann akiosha gari na wastarabaadhi ya wana tea wastara wakiwa na kiongozi wao wastara kwenye picha ya pamojaEsha...
View ArticleYULE MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI MAHEEDA AMEENDELEA KUTOA PICHA ZA...
Mwimbaji maarufu inchini Nigeria MAHEEDA ameendelea kuweka picha ambazo ZINA HATARI kwasisi wazee wa ..... huko INSTAGRAM......Zitazame kwa makaini .....PAPUCHI imebanwa sana na kanguo Duh!!!!..ETI...
View ArticleJEURI YA PESA......PICHA 10 ZA NYUMBA YA NEY WA MITEGO ANAYOTARAJIA KUHAMIA...
Msanii Ney wa Mitego ameingia katika Headlines chache za Wasaniii waliojenga nyumba na kuhamia mwaka 2014.
View ArticleUTABIRI MZITO TENA! : MCHUNGAJI ATABIRI WASANII WENGINE 20 KUFA MWEZI HUU JUNI
Nabii wa Huduma ya Ufufuo iliyopo Buza jijini Dar es Salaam, Yaspi Paul Bendera.UZITO WA UTABIRI MPYAAchana na Maalim Hassan, safari hii ameibuka Nabii wa Huduma ya Ufufuo iliyopo Buza jijini Dar es...
View ArticleWASANII 20 WA BONGO MOVIE KUFARIKI MWEZI HUU, SOMA HAPA
Hamida Hassan na Gladness MallyaHUKU makovu ya maumivu ya kuondokewa mfululizo na mastaa wanne wa filamu za Kibongo katika kipindi cha mwezi mmoja yakiwa hayajapona nabii naye ameibuka na kuweka wazi...
View ArticleWANANCHI NISAIDIENI MWENZENU
Ndugu Peter Mashiku anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu kutokana na pete alizokuwa amejaaNdugu Peter Mashiku mkazi wa Mwatulole mjini hapa...
View ArticleKILIO CHA MTU MZIMA:MBATIA ADAIWA KUMTELEKEZA KIONGOZI MWENZAKE WA NCCR...
Taarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR MageuziNdugu Watanzania na wale wote wanaojali UTU wa mtu, kwa kweli leo imenibidi niseme tu kutokana na hali yangu inavyozidi kuwa mbaya...
View ArticleBAADA YA PICHA ZAKE AKILA URODA NA BINTI KUSAMBAA MTANDAONI KOMBA AIBUKA NA...
“Sijawahi kuona mwanamke mzuri na mwenye imani kama mama Komba ( Salome ) jamani, unajua kulea watoto ambao mama zao wapo duniani ni kazi sana,”alisema Komba katika kipindi cha...
View ArticleAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA
Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wakeHabari picha toka tamasha la uzalendo nauzinduzi wa video ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote...
View ArticleODAMA :PICHA ZA RECHO ZINANITESA
STAA wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ anateswa na picha alizopiga na rafiki yake kipenzi, marehemu Sheila Haule ‘Recho’.Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ akiwa kwenye picha ya...
View ArticleGEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA.
Hapa ndipo mwili wa Marehemu George Tyson ulipozikwa mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.George Tyson ambaye alikuwa ni mmoja wa Waongozaji filamu mahiri hapa nchini...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- NDOA YA WAKAREEZZZ WA DUNIA YAANZA KUELEKEA UKINGONI HABARI...
Jay Z And Beyonce Knowles are again staring down divorce rumors after the rapper reportedly had an affair with reality star Casey Cohen. Cohen, star of the Bravo show Princesses: Long Island,...
View Article