Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wasanii walioshiriki katika tamasha la Uzalendi na uzinduzi wa Video ya wimbo Maalum wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini dodoma leo jioni(picha na Freddy Maro)