Mama Maria Nyerere akiwa tayari kwa Tamasha la NAIAMINIATANZANIA hapa Dodoma,Kampeni hii itachukua Nchi Nzima kwaajili ya Kusambaza Upendo na Kutambua Umuhimu wa Kulinda na Kutetea Taifa la Tanzania.Shilole akiwa na Nuhu Mziwanda Kipenzi chake,.Mh:Lusind akibadilishana Mawazo na Kada wa Chama cha Mapinduzi Juliana Shonza.Linex Ni mwendo wa Kusamba UpendoMwana FAWapili kutoka Kulia Kajala MasanjaMkongwe wa Mziki wa Bongo Fleva afande Sele akibadilishana Mawazo na Diamond Platnum "Sukari ya Warembo"DJ Fetty akipata chatsBaba LevoGodzillaLuiza Mbutu wa Twanga Pepeta akiwa na
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Shusho.Msanii Ditto akiwa na Makomando wakali wa "Kibega"Millarayo akipata Ukodak na Mwasiti mkali wa "Mpaito"Queen Dorlen akiwa na Mwasiti katika UkodakMh:Tembe akelekea Jukwaani,Mashabiki wakimpa HI!!! Adam Mchomvu A.k.A Baba Joniii akianza kazi ya kushika MIC Mwanzo Mwisho kwenye Tamasha hili la Aminia Tanzania.Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa Wakazi wa Dodoma waliofurika Viwanja vya Jamhuri.
Sehemu ya Mashabiki wakionesha Ishara ya Kufurahia Kampeni ya NAIAMINIATANZANIA.Madee akikamua "Nani Kamwaga Pombe Yangu"Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Shusho akiimba kwaajili ya Tanzania.Jukwaa la Wasanii wakiimba Hellow Hellow Tanzania.Wasanii Wakiimba Hellow Hellow Tanzania wakati Rais wa Nchi Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Viwanja vya Jamhuri Dodoma kwenye Tamasha la NaiaminiaTanzania.Mh:Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na Wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha la Naiaminia Tanzania.Kila Mmoja anasambaza Upendo kwa MwenzieDiamond Platnum akila maneno na Ommy DimpozWasanii wakiwa tayari Kupanda Jukwaani kwaajili ya Kutoa Burudani kwa Mashabiki wa Dodoma na Kueneza Upendo.Mkali wa RnBOmmy Dimpoz na Mashabiki wakeMakomando wakijitambulishaMalkia wa Mipasho "Hadja Kopa"akisalimiana na Mashabiki wa Dodoma pia akisamba Upenzo kwa Watanzania "TANZANIA NAKUAMINIA"Mjomba akifikisha Salamu kuhusu Tanzania na Uimara wakeChege chigunda "Waue"
Simba Dume afande Sele akifanya yake.Dj Fetty akiwapagawisha Mashabiki wakeJB Mkali wa Bongo MovieMzee Chilo Mkongwe kwenye tasnia ya Filamu Nchini.
Johari
Mboto wa Bongo MovieJackline WolperVicent Kigosi "Ray"
Wasanii wote wakiwa Jukwaani na Kufikisha Ujumbe kuwa Tanzania inamambo mengi ya Kujivunia katika miaka 50 ya Uhuru.
Viongozi wakifurahia Kampeni ya NaiaminiaTanzania
Mh"Freeman Mbowe akifurahia Umoja wa Tanzania na Kusapoti kampeni ya "NAIAMINIATANZANIA".
Picha/Maelezo na Sanga Jr.Tafadhali Ukiamua kutumia Picha toa Credit.