NBA: MICHAEL JORDAN SASA NI BILLIONAIRE
Michael Jordan sasa ni billionaire...Jordan ambae alikuwa MVP mara 5 na aliwahi kushinda ligi ya NBA mara 6 bila kusahau medali 2 za dhahabu za Olympics sasa amekuwa billionaire...Jordan sasa amekuwa mwanamichezo tajiri kuliko wote duniani na pia amekuwa mwanamichezo wa kwanza katika historia kufikia ubillionaire...Jordan ameweza kuwa billionaire kutokana na kuongeza umiliki wake katika timu ya NBA ya Hornets (zamani ilikuwa Bobcats)...Jordan ameongeza umiliki wake kutoka 80% mpaka 89.5%...
Jordan sasa ni mwanamichezo tajiri kuliko wote na ameweka rekodi ya kuwa mwanamichezo billionaire wa kwanza katika historia ya michezo...Jordan alinunua shares Hornets mwaka 2006 na badae akamnunua mmiliki Robert Johnson kwa dola millioni 175 na kuwa mmiliki wa timu wa ya Hornets... habari zaidi kutoka Forbes.com