Stori: Shakoor Jongo
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Tukio la kunaswa kwa muimbaji huyo lilichukuwa nafasi katika baa moja maarufu iliyopo Kinondoni jijini Dar ambapo TX Junior alipogundua amefotolewa picha, ghafla alikosa raha na kujitetea:
“Dah! Huyu ni shemeji yangu tu nimekaa naye tukila bata, usinukuu chochote unachokiona kikifanyika hapa maana kitaniweka katika hali mbaya.”.