Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DUH MWANA FA ANA HALI NGUMU HUKO TWITTER! UMEONA JAMAA HUYU ALIVYOMTUKANA???? SOMA HAP

$
0
0




hii alitumiwa
MwanaFA 


Duniani kuna vituko jamani khaaaa, cha kumuandikia mtoto wa mwenzio hivi ni nini? hata kama humpendi jamani maisha yenyewe mafupi haya hujui nani anatangulia 

ila mie watu wanaomuongelea Ruge mitandaoni wananishangaza, mmmh kuna watu ni viumbe wazito hata uwafanye nini hawabebeki daah kila binaadam ana mapungufu yake lakini kwa Ruge kumuandama wanakosea sana juzi tu hapa kasafirisha watu kwenda kumzika Tyson katoa hela zake mfukoni kulipia ndege hilo binaadam hawalioni, ni mara ngapi anawasaidia wasanii shida binafsi? kweli tenda wema uende zako usisubiri shukrani, wema anaoufanya ni mwingi kushinda huo ubaya wanaomtangazia, sema binaadam tumekariri mabaya kuliko wema, mumuache kaka wa watu apumue kwa raha zake kama wewe hujui kuimba hubebeki yeye afanye nini ajipendekeze tu kukupeleka juu hata katika bible imesandika anza kwanza kujisaidia nami nitakusaidia khaa, mtu huna adabu, huimbi vizuri una nyodo unalewa kwenye show usipopangwa Ruge.

ulieandika ujumbe huu muogope Mungu kwanza, ukishamuua utafanikiwa nini sasa? mxiuuuuuu watu kama nyie ndio hamuendelei daima....

nilipomuuliza mwana FA akaniambia hamfahamu mtu alieandika hio text, huyo mtu daah eti umesoma nini bora yeye aliyetoa ujinga kuliko wewe mbumbu maana ungekuwa umeenda shule usingeandika utumbo
SOURCE-mishezabongo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>