Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu. Lakini Lulu leo aambao mekana kushirikishwa katika wimbo huo kwa kusema kuwa hana taarifa zozote wala haujui wimbo huo.
Hiki ndicho alichokiandika Instagram:
“Mwe mwe mwe…!Mbona mnaninyasanyasa…’in Senga’s voice’
I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!????
Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn”.
Wimbo mpya wa Mapacha unaoitwa ‘Time For The Money’ umetengenezwa na Tudd Thomas.