Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

JE KUNA UGONJWA WA HAMU YA KUFANYA MAPENZI AU NI KUJIENDEKEZA..HAWEZI LALA BILA YA KUPATA DOZI

$
0
0



Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu. AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin

kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake.
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina

SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>