KIKONGWE AUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA, MWALI WAKE...
Jinsi Bi Rebeka alivyopigwa shoka kichwani hadi ubongo kutoka njeBibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani...
View ArticleTAARIFA MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA KUHUSU KIKUNDI...
TAARIFA YA KUKANUSHAKumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Marafiki wa Mh Edward Lowassa Wasio na...
View ArticleSUPER STAR RIHANNA AMZIMIKIA DOGO SOMA HABARE KAMILI HAPA LIVE!!
Siku kadhaa baada ya Rihanna kuweka wazi kuwa anamzimia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng, ameonesha kukikubali kipaji cha mwimbaji wa Nigeria Wizkid. Wizkid ameeleza jinsi alivyosifiwa na...
View ArticleTAARIFA MAALUM YA POLISI JUU YA KIFO CHA SISTA NA MAJAMBAZI BONGO!!
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar esa salaam imetangaza msako mkali wa kuwatafuta na kisha kuwakamata walio husika katika tukio la kuua kwa kumpiga risasi kwa mtawa wa kanisa katoliki Sista Cresencia...
View ArticleSIKINDE NGOMA YA UKAE LIVE!!
Rate this blog post 12345(4 votes)0Picture This PhotographyEvery day at Kenya Weddings we get to scour through an overload of gorgeous in the form of wedding photos received from couples. Every so...
View ArticleKIKONGWE AUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA
Jinsi Bi Rebeka alivyopigwa shoka kichwani hadi ubongo kutoka njeBibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani...
View ArticleMAPACHA 3 WAWAPIGIA MAGOTI CLOUDS TAIFA KUBWA LIVE!!
Baada ya kuendesha Beef kwa muda wa miaka mitano dhidi ya kituo cha radio cha Clouds fm hatimaye waliokua wakiongoza kundi la wasanii wanajiita Vinega wa Anti Virus "Mapacha" jana tarehe 23 mwezi wa...
View ArticleSHULE YA JAMII YA WAMAASAI WILAYANI HAI YAPIGA MAENDELEO YA KASI
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akihutubia wazazi,wanafunzi na wageni waalikwa katika siku ya shule ya The O'Brien School for the Maasai.Siku maalumu ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza...
View ArticleIkiwa ni saa zisizozidi 24 za kuachiwa kwa yule Mwanamke wa Sudan,amekamatwa...
Siku moja baada ya kuachiwa huru kwa yule mwanamke aliyekuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanaume wa kikristo,Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke huyo amekamatwa tena.Jina...
View ArticleJOKATE:NINAMKUBALI SANA CRISTIANO RONALDO,SOMA ALICHOSEMA TOKA MOYONI
Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuonyesha ukubwa wake kwa kuteka kila habari kuu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, mabilioni ya watu duniani kote wakiwemo mastaa wakubwa wa...
View ArticleMAISHA YA MSICHANA HUYU MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA ANAOMBA MSAADA WAKO
MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo...
View ArticleNI ZAIDI YA LAANA:MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI AKAMATWA AJIUZA ( KAHABA )
Ni aibu iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu (jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene...
View ArticleSIO LAZIMA PICHA ZA HARUSI ZIWE ZA KIZUNGU TU ONA HAPA KIAFRIKA ZAIDI U KNOW!!
Every day at Kenya Weddings we get to scour through an overload of gorgeous in the form of wedding photos received from couples. Every so often, we come across photos that are so creative they knock...
View ArticleLULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA, ‘I SWEAR SINA IDEA NA HUKU KUSHIRIKISHWA’
Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu. Lakini Lulu leo...
View ArticleJE KUNA UGONJWA WA HAMU YA KUFANYA MAPENZI AU NI KUJIENDEKEZA..HAWEZI LALA...
Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu. AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua...
View Article