Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

AUNT EZEKIEL:NITAMALIZIA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU DUBAI

$
0
0
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel
Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema ameamua kufunga Ramadhani nchini na kumalizia Dubai kama ishara ya kumkumbuka mumewe aishie Dubai.
“Kama mnavyojua mume wangu yupo kule achana na maneno yote yanayosemwa juu ya mume wangu lakini ukweli ni kwamba yeye anaishi kule hivyo lazima nikamalizie huko mfungo,” alisema Aunt.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>