BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio. Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz.
↧