"Eeeh mungu muweza wa yote nipe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu.nimevunjiwa ofisi yangu na vitu vya thamani ya 3milioni vimeibiwa.nimerudishwa nyuma kimaendeleo.moyo wangu umevunjika.sina raha cna amani ya moyo.inaniuma sana.naomba mungu company ya ulinzi iliyokuwa ikilinda wasipindishe sheria.ili waweze kunilipa mali zangu.pia naomba marafiki wenye moyo wa huruma wenye kujua sheria wanisaidie.maana mpk muda huu hiyo ofisi siielewi hata yake.walinipa mkataba nimesaini.lakini ukaonekana unamakosa.ikatakiwa ukasahihishwe vizuri.nikaandikiwa karatasi kwa mkono ilisainiwa na viongozi kuonyesha kuwa japo company imechukua mkataba kwenda kusahihishwa.lakini mie mteja wao bado.na ulinzi ukawa unaendelea.sasa hata huo mkataba wa maandishi wezi wameubeba siku ya pili tu toka nipewe.na siku ya tukio ofisi haikuleta mlinzi.nimebaki njia ya panda mkataba original bado uko mikononi mwao.karatasi niliyoandikiwa imeibwa tena.cna ushaidi.nikiwa kama mwanamke najitafutia riziki nimebaki njia ya panda.mwenye kuhitaji kunipa ushauri asisite number zangu ni 0719 826243."