RACHEL NAYE ALISHWA UNGA....MWANAMUZIKI NYOTA AMCHANGANYIA KWENYE BANGI KAMA...
Kama ilivyotokea kwa msanii nyota wa kike wa bongo fleva, Rehema Chalamira 'Ray C' kuingizwa katika matumizi ya dawa ya kulevya na mtu ambaye alitokea kumwamini sana, ndivyo...
View ArticleWANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki...
View ArticleTHE MBUNGE WA SONGEA MJINI DR. EMMANUEL NCHIMBI BIG SHOW LIVE!!
Dr. Emmanuel Nchimbi at IDM Mzumbe 1999 wa pili kulia. Mtoto wa Muheshimiwa Mbunge na Bibi yake, yaani Mama ya Muheshimiwa live!!Muheshimiwa at JKT live!!
View ArticleMAMA APIGWA RISASI LIVE MBELE YA MTOTO WAKE SOMA HAPA HABARI KAMILI LIVE!!
ABC 7 ChicagoGUNNED DOWN AT FAMILY BARBECUE: Tonya Gunn was shot and killed at a barbecue in Chicago when someone opened fire from a passing car. Gunn died before emergency responders arrived....
View ArticleJERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara...
View ArticleMAUAJI YA KIMYAMA YALIYOFANYWA NA HAUSEGIRL HUKO SINGIDA.
Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwaSAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa...
View ArticleSOMA HAPA NA KAMA UNAWEZA PLEASE MSAIDIE MASIKINI HUYU MAMA!! MPIGIE AT +255...
News FeedBahati Bosco"Eeeh mungu muweza wa yote nipe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu.nimevunjiwa ofisi yangu na vitu vya thamani ya 3milioni vimeibiwa.nimerudishwa nyuma kimaendeleo.moyo wangu...
View ArticleBREAKING NEWZZ KITU KINACHODAIWA NI BOMU CHALIPUKA NA KUJERUHI VIBAYA WATU 8
Taarifa zilizotufikia za kusikitisha zinasema kwamba kumetokea mauaji katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini).Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na...
View ArticleMTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO
MASKINI Mungu wangu! Ndiyo maneno aliyoanza nayo kusema mama mzazi wa mtoto Salome Abdallah Said (3), kutokana na mwanaye huyo afya yake kuzidi kubadilika kufuatia kuumwa mara kwa mara licha ya...
View ArticleMTOTO AOKOTWA GETINI
MTOTO mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliokotwa huko Kibamba CCM, jijini Dar es Salaam, nje ya geti la nyumba ya Getruda Gervans.Mtoto...
View ArticleMAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ AKITOKEA MAREKANI
Tarehe 10/7/2014 ni siku ambayo Star wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania Diamond Platnumz, ambaye anachafua anga la muziki kwa sasa kwa utunzi na uimbaji wake alitua katika Uwanja wa Ndege Mwal....
View ArticleBAADA YA KUTEMANA NA DIAMOND, PENNY ACHUMBIWA....AVA PETE LIVE
VJ PennyMtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.Pia juzi paparazi ilisikia...
View Article