Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA

$
0
0
Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa
Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana. 
wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi
Wakina mama nao wakila futari hiyo iliyoandaliwa na Balozi pamoja na familia yake katika makazi yao mjini Geneva.
Picha cha mbalimbali za kumbukumbu na wageni waalikwa katika futari hiyo zilipigwa. Picha ya Mwisho ni Balozi Mero akiwa na mkewe na binti yao ambao ndio walikuwa waandazi wa futari hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>