MARIO GOTZE ALIVYOPONGEZWA NA 'BEBII' WAKE JANA MARACANA
+142
Busu kwa mshindi: Mfungaji wa bao pekee la Ujerumani katika ushindi wa 1-0 kwenye fainali ya Kombe la Dunia jana dhidi ya Argentina, Mario Gotze akikukumbatiana na mpenzi wake, Ann-Kathrin Brommel baada ya mechi
Gotze akiangalia mbinguni ishara ya kumshukuru Mungu baada ya kufunga jana