Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KUNA METHALI NYINGI ZA ZAMANI ZIMEPITWA NA WAKATI KAMA HII YA MJANJA HAJINYOI WAKALI MIMI LE BIG SHOW NAJINYOA MWENYEWE ALLL THE TIMES SINA HELA YA SALOON ONA HAPA LIVE!!

$
0
0
Le Big Show najipaka Gillete Special foam mbele ya kioo bafuni najinyoa tena saafi sana maana kama kuna nsehemu umezikosea ukigusa na vidole utazipata unazipitia tena, ninaishi kwa bajeti hata siku siku moja hata nikiwa majuu sijawahi kutumia senti tano yangu kwenda kunyoa Saloon halafu labda huko Saloon wangekuwa wanao nyoa wanaume ni mabebz labda ningeenda lakini mambo ya kwenda kunyolewa na mamen kama mimi mikono migumu like hell no way! maan bora nijinyoe mwenyewe na wewe unaweza people so upunguze gahrama za bila sababu!! - Le Big Show



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>