Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku chache toka wimbo utoka. Video imefanyika July 11 2014 Dar es salaam Tanzania iliongozwa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco.