Leo ni siku yakuzaliwa na mtoto wa Kajala,ambae anafikisha miaka 12.Kupitia ukursa wake wa INSTAGRAM Kajala ameandika ujumbe mtoto wake kwakueleza magumuuyao yote wakiopitia tangu siku ya kwanza Paula alipoza anazaliwa na mapaka sasa.....Kiukweli Kajala amefunguka mengi sana......