Msanii wa Young Money Nicki Minaj ambaye mwaka 2012 alizindua manukato ya Pink Friday yaliyopata tuzo amezindua manukato mapya aliyoyaita Minajesty: Exotic Edition.
Alhamisi iliyopita Nicki Minaj alionekana kwenye kituo cha HSN akitambulisha mauzo ya kwanza ya perfume hio na siku hio aliweza kuuza perfume zote alizokuja nazo ambazo zilikuwa chupa 9,000 na mpaka sasa ameuza chupa 25, 000 na bei ya chupa moja ni dola za Kimarekani 59.50.