KAMPUNI YA BHAKRESA YATOA CHEKI YA DOLA ZA MAREKANI 93,000 KUISADIA TIMU YA...
NAIBU WAZIRI wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mhe. Juma Nkamia amemuomba mmiliki wa kiwanja cha michezo cha Azam Complex Bw. Said Salim Bakhresa kutoa ruhusa kwa wachezaji wa Tanzania kufanya...
View ArticleFFU-UGHAIBUNI KUKIWASHA KATIKA MAONYESHO MAKUBWA 5TH. INTERNATIONAL AFRICAN...
Washabiki na wadau wa muziki nchini ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014,Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17.Julai 2014 hadi...
View ArticleMBUNGE WA VITI MAALUM ZAINABU VULLU ATOA MSAADA WA MASHINE > YA KUFULIA NGUO...
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa katika Hospitali ya Kisarawe mkoani Pwani, iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum, Zainabu Matitu Vullu...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA..
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWAMatokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani...
View ArticleMASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini...
View ArticleGARI LA NAIBU WAZIRI MAKALLA LATOLEWA MKUTANONI CHINI YA ULINZI MKALI WA...
Gari lililombeba Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, likilindwa na polisi lililopokuwa linaondoka baada mkutano wa hadhara kuvunjika kulikosababishwa na vurugu ambazo waziri alidai kuwa zilipangwa...
View ArticleTAZAMA PICHA HIZI SABA(7) ZA DIAMOND NA WEMA..WALIZOPIGA MARA BAADA YA KUFURU...
PICHA 2>>>>>HAPAPICHA 3 &4>>>>>>HAPAPICHA 5&6>>>>>>HAPAPICHA ZOTE >>>>HAPA
View ArticleMAMA DIAMOND: Wasichana wanajitongozesha wenyewe kwa Mwanangu
MAMA mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya wasichana wanajitongozesha kwa mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.Mama Diamond amesema...
View ArticlePicha,Floyd Mayweather Amnunulia Mpenzi Wake Hili Gari La Kifahari Kwenye...
Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani kupitia mchezo wa ngumi na udhamini wa makampuni tofauti. Pia Floyd ni star anayependa kuonyesha matumizi ya pesa...
View ArticleSHILOLE AMTETEA MZIWANDA
MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo...
View ArticleTHE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY/ALHAMISI 17/07/2014
.................................
View ArticleHATIMAYE MR NICE AFUNGUKA KUHUSU UTAJIRI WAKE WA BILIONI 1.5 NA JINSI...
Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki,...
View ArticleRAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM
Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu...
View ArticleLULU AWEHUKA UKUMBINI
Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’,Stori: Musa MatejaMchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la...
View ArticleTIBWILI TIBWILI: MTUNISI AWACHANA "LIVE" DIAMOND NA WEMA SEPETU KWA UHUNI...
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa...
View ArticleSANGOMA ANASWA LIVE GUEST NA WAKE ZA WATU USIKU WA MANANE...ETI ANAWAPA DAWA...
Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live.Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa...
View ArticlePENNY AFUNGUKA JUU YA MFUNGO WA RAMADHANI
MMTANGAZAJI wa Redio EFM aliyewahi kuanguka kimahaba na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewafungukia wanaomshangaa kuhusu kufunga mwezi wa Ramadhani na...
View ArticlePicha, Nicki Minaj Azindua Perfume Nyingine,Inaitwa Minajesty:Exotic Edition
Msanii wa Young Money Nicki Minaj ambaye mwaka 2012 alizindua manukato ya Pink Friday yaliyopata tuzo amezindua manukato mapya aliyoyaita Minajesty: Exotic Edition.Alhamisi iliyopita Nicki Minaj...
View ArticleMAJANGAZZZ I BOSI ALIVYONUSURIKA KUUAWA KWA RISASI NA MAPANGA TABORA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha akiwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama Kitengo cha Bima. Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa...
View Article