Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SUPER STAR ALI KIBA AFUNGUKA LIVE KUHUSU DIAMOND PLATZNUM LIKE NEVER BEFORE!!

$
0
0
Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.

Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.






Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>