PICHA AJALI YA LORI NA PICK UP KUGONGANA USO KWA USO YAUA WAWILI IRINGA
Hii ndio pick up uliyogongana uso kwa uso la lori na kusababisha vifo vya watu wawili usiku wa leo mjini Iringa ANGALIA PICHA ZAIDI
View ArticleLE MAJANGA WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA
Miili ya watoto wawili, Daniel Paul na mdogo wake, Emmanuel Paul ikitolewa eneo la tukio.Stori: Juma Kapipi, TaboraINAUMA sana! Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake,...
View ArticleMpira wa Bongoo KASEJA agoma Yanga,ni baada ya tuhuma za kuhujumu kwa kufungisha
GOLIKIPA wa Yanga Juma Kaseja ameigomea Yanga kuingia kambini kwa mchezo wake unaokuja dhidi ya JKT Ruvu utakaopigwa Jumapili baada ya kudaiwa kufungisha kwenye mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya...
View ArticleMAAJABU..MUNGU ANATISHA...MTOTO ANUSURIKA KIFO KWA KUTOKA TUMBONI BAADA YA...
An unborn baby has survived a fatal car accident that killed both mother and father. The incredible child catapulted three metres out of his pregnant mum’s womb after she was run over by a truck....
View ArticleWAKAREEZZZZ WA DUNIA JANA WALIPOKUWA KWENYE RELAXATION BASKETBALL MATCH YA...
Beyonce na Jay Z wakiwa wanaangalia Basketball kati ya Brooklyn Nets' na Houston Rockets, New York's Barclays Center on Tuesday:Jay Z ni mmoja wa wamiliki wa Brooklyn Nets'
View ArticleMAMBELEEZ LIST YA WATU MAARUFU WALIOALIKWA KWENYE HARUSI YA KANYE WEST NA KIM...
Harusi ya Kanye West na Kim Kardashian inakaribia, list ya mastaa wa marekani walioalikwa ni hii hapa.1) OPRAH WINFREY2. WILL SMITH3.NICOLE RICH4. LA LA ANTHONY5. RYAN SEACREST.6. JAY Z & BEYONCE
View ArticleMCHUNGAJI MTIKILA SASA ATAKA BUNGE LA KATIBA LIVUNJWE HABARI KAMILI YA KWANZA...
RAIS KIKWETE APELEKEWA BARUA YA KULIVUNJA BUNGE MAALUM LA KATIBAMwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samuel Sitta.PICHA|MAKTABADodoma. Ombi la Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher la kutaka Bunge...
View ArticleWAZEE WA KANISA ANGALIA PICHA ZA MAISHA YA ASKOFU BILLIONEA TANZANIA
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi kwa kuwa na...
View ArticleMeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013 LIVE!!
Na. Mwandishi wetu.Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013.Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats...
View ArticleMajonzii mbeleeeee..Angalia Picha ya Mwanamke Czech Republic atolewa mawe...
Na Damas Makangale,Mwanamke mmoja nchini Czech Republic ametolewa mawe takribani sita katika tumbo lake baada ya kufanyiwa oparesheni kubwa ya upasuaji na madaktari bingwa.Madaktari wanasema alikuwa...
View ArticleKULE MWAKA-INSTAGRAM WAMEANZA TENA MWEHHH!! SASA NI SHIDA KABISAA TEAM WEMA...
Hehehe kweli ushoga wa mujini kazi jamani sasa huyu bibie na BFF wa madame Wema alipiga picha na hawa wadada wawili wanaodaiwa kuwa maadui wa Wema. Yeye binafsi hakuipost picha hiyo Instagram bali...
View ArticleANGALIA PICHA MATESO ANAYOPATA HUYU
An Indonesian man whose body is covered by hundreds of tumours has made a final plea for help as the rare condition robs him of his sight.Slamet, from East Java, is believed to be suffering from...
View Article