Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO KAMA KAWA ILE HABARI YA MUJINI BONGO YA EVERY SATURDAY AT EAST 24TH GRILL...

Peter Moe"Grooveback Keeps Dar Groovin n Groovin Every Saturday @ East 24! Get down Tonite with Dj Peter Moe, KT, JB, Crucial & Toni #KamaKawa"

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM YAKAMILIKA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri...

View Article


BREAKIN NEWZZZ:- MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA AWAJIBU WAZIRI MKUU...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 1 FEBRUARI 2014MZEE MALECELA NA PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA VIONGOZI WA DINI 0.1 Kitendo alichokifanya hivi karibuni Ndugu Paul Makonda Katibu wa Chipukizi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NOTHING BUT THE MBURULAZZZ WASANIII WOTE BABA YAO NA MAMA NI YULE YULE NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE BONGO & MAJANGAZ:- HABARI YA KWANZA YA AJABU NA KUTISHA SOMA MWENYEWE LIVE!!

MACHOZI YALINITOKA BAADA YA KUSOMA HII HADITHI Bwana Zimbo (kwenye picha), alikuwa hajaajiliwa tangu alipomaliza chuo na kushika nafasi ya kwanza kabisa kitaifa katika University of Port Harcourt...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA NI HABARI YA MUVI MPYA YA KAJALA NA WOLPER KUGOMBEA BWANA SOMA HAPA LIVE!!

Jack Wolper mwigizaji wa filamu SwahilihoodMSANII wa muziki wa kizazi kipya anayeunda kundi la Makomandoo Fredy Wayne ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline Wolper amesema ameachana naye na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ:- AJALI MBAYA DODOMA YAUA MAPOLISI WATANO HAPO HAPO LIVE!!

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Askari polisi watano mkoani dodoma wamefariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya saa 5 usiku katika barabara kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE BONGO & MAJANGAZ:- MAMA WA SUPER STAR MBEBEZ JOHARI AMCHANA RAY LIVE SOMA...

Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ:- HABARI YA KWANZA MJUE MWANADADA ALIYEFUNGA NDOA NA MAMEN...

Mwanamke huyo pichani  anayeitwa Belinda mwenye umri wa miaka 32, akiwa na mume wake wa kwanza, Yasemekana mwanamke huyu alifanikiwa kufanya udanganyifu huo kwa kushirikiana na Baba yake mzazi.Gazeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODA BODA WAMPOKEA JAKAYA UWANJA WA SONGWE

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano akipunga mkono wakati akishuka kutoka kwenye ndege jioni ya leo kwenye uwanja wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za kuzaliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENDI MPYA KUZINDULIWA RASMI MJINI DAR TAREHE 14/2/2014 AT CASSA PLAZZA...

KAMPUNI ya Rissa Risasy and Music Creation yenye makazi yake Dar es Salaam na London Uingereza itazindua bendi ya muziki wa dansi jijini Dar es Salaam, Februari 14, mwaka huu kwenye ukumbi wa Cassa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAAIRFA YA KISOMO CHA 40 KWA AJILI YA MAREHEMU ZAY B. DMV/USA HABARI KAMILI...

Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeDullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KISOMO CHA 40 KWA AJILI YA MAREHEMU ZAY B. HUKO MAMBELEZZZ DMV/USA.

Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeDullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA YANGA MANJI AWAFUNGUKIA LIVE WANAOMUANDAMA KIONGOZI MAGARI WA...

Manji awawakia wanaomuandama Seif MagariDar es Salaam. Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amewaonya wanachama na mashabiki wa timu hiyo wanaotishia maisha Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR COMEDIAN MASANJA MKANDAMIZAJI AZIDI KUTANUA SASA NA MKOKO MUPYA NA...

PICHA YA JUU AKIWA KWENYE GARI LAKE

View Article


MBUNGE WA CHADEMA ATUHUMIWA KUIBA NYARAKA ZA HALAMASHAURI SOMA HAPA LIVE!!

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Mohamed Farah ameibuka na kukiri kumnyang’anya nyaraka za kikao Mbunge wa Viti Maalumu, Paulina Gekul (Chadema). Kuibuka kwa mwenyekiti huyo, kumekuja baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- ONA MWANAFUNZI WA UDOM MBEBEZ BAADA YA KANASWA NA MUME...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA MAALUM YA KWANZA YA MBUNGE WA CHADEMA BAADA YA KUPIGANA NA MWENYEKITI...

Tarifa ya kushambuliwa na mkurugenzi wa halmashauri na mkiti wa halmashauri Jana Ndugu zangu wana babatiJana kulikuwa na Kikao cha kawaida cha mipango miji miongoni mwa mambo tuliyojadili ni orodha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YATAKAVYOKUWA NA MABASI MAPYA YA MWAKYEMBE YATAKAPOANZA MZIGO RASMI NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA BONGO MUVI NI DAMU DAMU NA CCM ONA MAMBO HAYA YA MBEYA MIAKA 37 YA CCM...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live