LIVE RAIS WA NCHI JAKAYA KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa...
View ArticleMBABEEZ WA UKWELI AFUNGUNGUKA LIVE,...DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA...
Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My Husband, My Forever Favorite Man. My sugar My sweetie…My heart .. my better and...
View ArticleZ-ANTO "NILIMKANYA SANA BINTI KIZIWI KUHUSU ISSUE YA MADAWA YA KULEVYA ILA...
Muimbaji wa muziki aliyewahi kuhit na wimbo wake ‘Binti Kiziwi’ Z-Anto amesema aliwahi kumkanya aliyekuwa mke wake, Sandra (msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wake Binti Kiziwi), kuachana na...
View ArticleJOKATE AMECHUKUA NAFASI YA VENESSA MDEE SHOW MPYA YA KITUO CHA TV1
Jokate Mwegelo amechukua nafasi ya Vanessa Mdee kama mtangazaji wa show mpya ya kituo cha TV1 kilichozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Awali Vanessa ndiye aliyekuwa amechukuliwa kuendesha kipindi...
View ArticleDUU BONGO NOMA SANA CHEK THIS OUT YANI WE ACHA GARI LA POLISI LABEBWA KWENYE...
BONGO TAMBARARE.......... kilinyepesi 3:14 PM
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- MGOMBEA WA CHADEMA CHALINZE AWEKEWA PINGAMIZI HABARI YA...
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF DHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...
View ArticleLE BIG SHOW HANGING OUT NA WABEBEZ WAKAREEEZ SUPER STAR ROSE NDAUKA + MISS...
Le Big Show with Super Alice Miss Ilala 2013 number #2 mkareez!!Le Big Show hanging out with Super Doris Miss Ilala 2013 Mkareezzzz!!Le Mutuz hanging out with Miss Mzizima 2013 live le Mkareezzzzz!!Le...
View ArticleONA WALICHOKISEMA WAKULIMA WA CHAI BUMBULI
Raisa Said, BumbuliSERIKALI imetakiwa kufikia maamuzi ya haraka ya kumtafuta mwekezaji mwingine wa kiwanda cha Chai cha Mponde kilichopo...
View ArticleLE MUTUZ LIVE TO DODOMA THIS MORNING KIKAZI ZAIDI ONE DAY STAY AND A RIDE...
Le Big Show at Terminal 1 JKN Airport this morning waiting to catch a Flight Link Plane to Dodoma live!!Le Big Show with Mheshimiwa Mbunge Mkono who was also on his way to Dodoma live!!Le Big Show...
View ArticleSUPER STAR OMMY DIMPOZ AKIWA CHINI YA ULINZI WA POLISI MAMBELEZZZ LONDON/UK...
Ommy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid na Davido ‘skelewu’ Leo Dimpoz ameshea picha za...
View ArticleTASWA CHAIRMAN JUMA PINTO NA MKURUGENZI MKUU WA TSN SUPERMARKETS AT DOWNTOWN...
Mkurugenzi Mkuu wa TSN Supermarkets na Rais wa TASWA Chairman Juma Pinto at Downtown Muscat/Oman leo live.
View ArticleOMMY DIMPOZ + VANESSA MDEE WAPATA SHAVU KWA VICTORIA KIMANI SOMA HABARI YAO...
WASANII wawili wa muziki wa kizazi kipya nchini Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' pamoja na Vanessa Mdee wamefanikiwa kumshawishi msanii wa kimataifa Victoria Kimani kutengeneza 'collabo'.Wasanii hao...
View ArticleLE BIG SHOW HANGING OUT WITH KABEBEZ SUPER JAMIE_JAMS MKAREEZZZ NDANI YA...
Le Kabebez Super Jamie_Jams Mkareezz live at the Presidential Jet from Dodoma live!!
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- WAZIRI WA CCM WA KAZI SASA KUBURUZWA MAHAKAMA YA KAZI YA...
.Waziri alimburuzwa mahakamani kwa kosa la kukiuka sheria za ajira. Ashinda kesi kiaina baada ya Mahakama ksuema hakuna ushahidi wa kutosha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Kazi,...
View ArticleMJUMBE WA NEC/CCM MH. RIDHIWANI J. KIKWETE ALIPORUDISHA RASMI FOMU YAKE YA...
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi,...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOPOKEA RIPOTI MAALUM YA MGAWANYIKO WA UMRI NA JINSIA LEO...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu...
View Article