Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

SODOMA NA GOMORA DAR! KLABU YA WANAUME TATA YAFICHULIWA!

$
0
0

Baadhi ya wanaume hao tata.
KLABU inayodaiwa kuwahifadhi wanaume tata imegundulika hivi karibuni maeneo ya Kinondoni jijini Dar karibu na Viwanja vya Leaders.
Paparazi wetu aliibaini klabu hiyo baada ya kuwanasa wakifanya pati ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanaume hao aliyejitambulisha kwa jina moja la God ‘God Chocolate’.



Mwanaume tata akiwa kwenye pozi.
Mwanahabari wetu ambaye alichukua matukio tofauti ukumbini hapo, aliwashuhudia wanaume hao wakiwa katika hali isiyokuwa ya kawaida kwani walijiachia kwa vinywaji vikali na muziki huku wakibusiana kimahaba.
Kikubwa kilichostaajabisha ni jinsi ambavyo God alivyovaa mavazi ya kike na kujiremba kama vile anakwenda harusini.
“Hawa kila siku ukija katika klabu hii utawakuta. Ndiyo michezo yao. Wanahifadhiwa humuhumu ndani na wateja wao wanakuja hapahapa,” alisema mmoja wa wahudumu wa klabu hiyo.

WAREMBO SASA WAMEZIDI!!,SHUHUDIA PICHA HIZI!!

ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSU BIFU YA DIAMOND NA ALI KIBA.

$
0
0

Tasnia kama Tasnia inahitaji
Upendo,Heshima,Umakini,jitihada ili kufika tunapohitaji kufika....Dharau,Fitna, Majigambo, Majidai ya aina yoyote hayatatufikisha popote......Hivyo kama wasanii tunahitaji kushikana mikono kwa pamoja tufike tunapotaka kufika... i realy love Diamond Platnmuz Music and i dance to those rythms and beats.. Ali Kiba music makes me move smoothly with that Taste of music... Wote wanafanya good music...ila tukifanya hawa wawili .wagombane..we may find ourselves lacking the good music we got....... Hata kama wana tofauti tusifanye sisi kuwa the lenses..kukuza... Lets Embrace our Best Artist in the country ... Who knows wanaeza fika mbalii zaidi ya hapa walipo....support wote coz they are ours...same applies kwa beefs nyingine zooote za kisanaaa... Hizi Teams will gain ua nothing but cheap fame....Now whats the importance of Cheap Fame foe 15 minutes and shame for thw rest of yo life... Mahatma Gandhi once said "Be the Change You want to see.." All the Best Kiba on Your Ambassador gig umepata na Please Lets Vote For Diamond Platnmuz and Veemoney Acheni kutukana ugenini! Ni aibu... Disclaimer: No one was intended to be harmed with my posts 

MREMBO HUYU AJITAPA KUMFANYIA KITU MBAYA AGNESS MASOGANGE!

$
0
0

Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita.
Imelda Mtema
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita amejitapa kumpora bwana muuza nyago mwenzie, Agness Gerald ‘Masogange’ na kusababisha wawili hao kuingia kwenye bifu zito.Sosi aliye karibu na wauza nyago hao alisema kuwa bifu walilonalo linamhusu bwana aliyetajwa kwa jina moja la Said ambaye makazi yake ni nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’.

“Said ndiye aliyekuwa akimpa ‘good time’ Masogange alipokuwa Sauzi ambapo alikuwa akiishi maisha mazuri na baada ya kutibuana mwanaume huyo alihamishia majeshi kwa Tunda, kitendo kilichomuumiza Masogange ambaye walianza kurushiana matusi mtandaoni,” alisema sosi huyo.
Baada ya habari hiyo kutua kwenye Dawati la Ijumaa, mwandishi wetu alimsaka Masogange ambaye alikuwa mkali na kusema kuwa yeye hamfahamu Tunda wala hapendi kusikia habari hizo.

Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Agness Gerald ‘Masogange’. “Kwanza simjui huyo Tunda wala sitaki kujua habari zake hata kidogo, naomba mniache,” alisema Masogange.
Tunda aliposomewa mashtaka yake alikiri kugombana na Masogange na kusema mwanaume huyo alipomfuata alimwambia walishaachana na Masogange hivyo yeye hana kosa.
“Said aliniambia wala sikujua kama alikuwa na Masogange, alisema walishaachana hivyo atulize presha hakuna sababu ya kuwapa watu faida,” alisema Tunda.

DEMU WA KENYA ANAYEMTAKA KIMAPENZI DIAMOND PLATINUMZ, AIBUA HILI JIPYA

$
0
0

Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa alitafutwa na Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha mbali mbali na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki ..Lakini mpaka leo Tickets hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook anajiita : Diamond Wasafi Platnumzz



Hizo Hapo Juu ni Baadhi ya Messeji walizokuwa wanachat kabla ya kugundua sio Diamond wa Ukweli .....
TIARA amesema Bado Hajakata Tamaa na Anasema Diamond Kama Anasoma habari hii Soon atakuja Tanzania yeye mwenyewe kukutafuta Face to Face mpaka kieleweke....
Katika Hatua nyingine TIARA amesema Mwezi ujao ataachia Single yake mpya itakayoitwa Kuparty....

ALI KIBA ASEMA ANASIKIA KICHEFU CHEFU AKISIKIA JINA LA DIAMOND PLATINUMS

$
0
0

Ali Kiba says he deserved all awards he scooped at the recently concluded Kili Music Awards 2015 contrary to what some people say that he didn't deserve all 5 awards including entertainer of the year.
Kiba said he had all criteria to win and he is now well prepared to fight with anyone who thinks he is the real King of Bongofleva
And when the paparazzi mentioned Diamond Platnumz name Kiba didn't look impressed at all and quickly he said he gets nausea(kichefuchefu) whenever and wherever he hears Diamond's name 

DIAMOND PLATNUM AENDELEA KUSONONEKA, AAMUA KUANDIKA UJUMBE HUU MZITO KWA TEAM KIBA ADAI, ALKIBA KAPENDELEWA KUWA WA KWANZA

$
0
0

Lol....sometimes we have to laugh !.....one of Diamond's critic/hater didn't see it impressive Diamond and S.African Donald posting their interview on social media account so the hater criticized saying it was unnecessary and provincial(ushamba) to post it coz many Diamond he is doing now have been done by others in the past.
But we all know Diamond has many haters since he is at the peek of his career so even the good he posts become the bad to his haters.  

NGOMA YA DIAMOND YAPAAA MBAYA DUNIANI UNAJUA INASHIKA NAFASI YA NGAPI KWENYE CHAT ZA TV KUBWA KABISA YA TRACE T

$
0
0

Sankoro dance proves penetrated in Africa more than expected!! CAN YOU BELIEVE IN FEW WEEK'S NANA SONG HIT IN TRACE URBAN FROM 26 TO TOP TEN IN AFRICA HIT? MUST READ....



from 26 position up to ..............

MSIBA: MHESHIMIWA MBUNGE WA BUNGE LA TANZANIA AFARIKI DUNIA!

$
0
0
MBUNGE wa Jimbo la Geita, Donald Max amefariki dunia leo jioni akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila amethibitisha taarifa za kifo hicho na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015.

PICHAZ: ELIKEM NA POKELLO WA BBA SEASON 8 WAFUNGA NDOA

$
0
0


Elikem Kumordzi na Pokello Nare katika pozi wakati wa ndoa yao.
WAPENZI Elikem Kumordzi na Pokello Nare waliokutana katika Jumba la Big Brother Africa season 8 hatimaye wamefunga ndoa.


Wapenzi hao wamefunga ndoa ya kimila iliyofanyika huko Harare, Zimbabwe wikiendi iliyopita.
Wanandoa hao wamepanga kuwa na harusi mbili moja ikifanyika nyumbani kwa bibi harusi (Pokello) huko Zimbabwe na ya pili ikifanyika nyumbani kwa bwana harusi (Elikem) nchini Ghana hapo baadaye.

"Harusi moja Zimbabwe, nyingine Ghana maana kaka na dada zangu huko Ghana wanapenda kuwa sehemu ya harusi hiyo na pia kaka na dada wa Pokello huko Zimbabwe nao walipenda kushiriki tukio hili pia," alisema Elikem Kumordzie
Picha zaidi za harusi hiyo:






PI

FAIZA ALLY ALALAMIKA MAHAKAMANI KUNYANG'ANYWA MTOTO NA MBUNGE SUGU

$
0
0
Leo June 23 2015 Mahakama ya Sinza Dar imetoa hukumu ya hatma ya mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mzazi mwenzake Faiza kwa kuruhusu mtoto huyo kulelewa na baba yake kwa madai kuwa mama hana vigezo vya kumlea mtoto huyo kimaadili.
Faiza ameongea kwa huzuni kuhusu hukumu hiyo, anadai kuwa hajatendewa haki na pia baba wa mtoto hawezi kumlea kwa sababu ana mambo mengi. 
Hata hivyo Faiza amesema pamoja na lawama ambazo amepewa kuhusu mavazi yake bado yuko tayari kujirekebisha.

ALI KIBA LEO AAMUA KUJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE DALADALA

$
0
0

Safari ilianzia mitaa ya Kariakoo katikati ya Dar es Salaam.. alafu ikaenda mpaka Tandika, Temeke na mwisho kabisa ikawa maeneo ya Ilala.

Staa wa Muziki TZ ambae usiku wa June 13 2015 aliingia kwenye headlines kubwa baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya Tuzo SITA kuonesha jinsi ambavyo watu wake mtaani wamemkubali kwenye ujio wake mwingine baada ya kimya cha muda mrefu.
Ali Kiba ni mshindi pia wa Tuzo za Watu 2015 kwenye nafasi ya msanii wa kiume anayependwa.. YES, niko nae leo tena.. kaingia zake mtaani na akaona njia poa ya kukutana na watu wake ni kuingia katika daladala na kupiga story na kila shabiki wake wa nguvu aliyekutana nae humo.















Na wewe unatamani kuwa karibu na staa huyu? Ishu iko hivi, Ali Kiba amesema kesho anaendelea tena, yeye na watu wake ndani ya daladala kituo kwa kituo, kwa hiyo kama wewe ni mtumiaji wa usafiri huu pia katikati ya Jiji basi huenda kesho ikawa siku yako pia mtu wa nguvu!!



BONYEZA HAPA KUONA VIDEO TUKIO LA ALI KIBA AKITAMBA MITAA YA DA LEO 

HABARI ZADI ZA PAPA MUSOFE MUZEE WA KWAGEE!! MUZEE WA PESA MINGI KUACHIWA LEO NA MAHAKAMA YA KISUTU LIVE!!

$
0
0
PAPA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUJI LEO

Na Happiness Katabazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemfutia kesi ya Mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu
Marijani Abdubakari Msoffe baada ya kupokea taarifa toka kwa
MKurugenzi wa Mashitaka (DPP) , Biswalo Mganga Leo Kuwa Hana nia ya kuendelea kumshitaki tena.



Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 2002 ,inampa mamlaka DPP kuifuata kesi ya jinai bila kuhoji wa na mtu yoyote wala mamlaka yoyote ile.
Hata hivyo dakika Chache baada ya Kufutiwa Kesi hiyo ya mauji kinyume na Kifungu cha 196 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Mwaka 2002 ambapo kisheria Mahakama ya Kisutu ilikuwa haina mamlaka ya kuisikiliza na haina dhamana na hivyo kwa Kipindi chote hicho tangu Agosti 10 Mwaka 2012 hadi Leo alikuwa akiishi Gereza la Keko Kisha aamishiwa gereza la Ukonga .

Leo pia upande wa Jamhuri umemfungulia Kesi mmoja ya kughushi Nyaraka za Viwanja ambayonendapo akitiiza Masharti ya dhamana anapata dhamana na hivyo kurudi nyumbani kwake kuungana na familia yake.

Hata hivyo hadi sasa bado hajatekeleza Masharti ya dhamana bado yupo chini ya Ulinzi Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Pole Msoffe na hongera kwakufutiwa Kesi hiyo Ndio Sheria lazima ifutwe na wale waliopewa jukumu la kusimamia na kutekeleza Sheria.Na Imani kwa kupata tuhuma zile za Kesi za Mauji na kukasababisha ukaishi gerezani ni wazi utakuwa umejifunza sasa Kuwa Sheria zipo ,hazibagui masikini wa Tajiri wala Mtu maarufu,na dola linanguvu sana kuliko mwananchi wa aina yoyote yule na linamkono mrefu . Ushauri wangu jiepushe kukaribia au Kutenda mambo yanavunja Sheria.
 

Msoffe ambaye wewe ni shabiki mwenzangu wa Bendi ya FM academia nakushauri kaa mbali na tuhuma mbaya ambazo umekuwa ukisifika nazo sina haja ya kuzitaja hapa.
Nakumbuka Uliwahi kushitakiwa kwa Kesi Moja katika Mahakama ya Kisutu ukaenda Jela kwa kukosa dhamana na Kesi ile ikaisha ila Kesi hii ya Mauji ilisababisha licha na Umaarufu wako wote Ukaa Jela kwa Kipindi chote hicho.

Nimelazimika kuandika story hii ya Msoffe Kufutiwa Kesi hii Kwani Mimi nilikuwa ni miongoni mwa waandishi wa Habari tuliokuwa siku ya kwanza anafikishwa mahakamani hapo kuandika Habari yake mfululizo hadi baadhi ya ndugu zake wakawa wanatuzuia tusimpige picha na kututolea maneno machafu bila kujua tulikuwa tukitimiza wajibu wetu hadi nilipoachakazi ya uandishi wa habari katika gazeti la Tanzania Daima Agosti mwaka 2014 ndipo nilipoacha kuandika kesi hii.Tulishawasamehe.
 
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
24/6/2015


Tujikumbushe habari niliyoiandika siku ya kwanza wakati Papa Msoffe alipofunguliwa Kesi hiyo ya Mauji ambayo Leo amefutiwatiwa na DPP.
10/8/2012
 

PAPA MSOFFE KORTINI KWA KESI YA MAUJI

Na Happiness Katabazi

HATIMAYE mfanyabaishara maarufu jijini Dar es Salaam, mfanyabaishara maarufu jijini Marijani Abdubakari Msoffe(50) maarufu kwa jina la “Papa Msoffe chuma cha reli akishi kutu’ amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kesi ya mauji. Wakili Mwandamizi wa serikali Tumaini Kweka alidai mbele ya Hakimu Mkazi Agnes Mchome alidai kuwa Msofe ambaye ni mkazi wa Mikocheni,anakabiliwa na kosa m
oja la mauji ambalo ni kinyume na kifungu cha 196 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya mwaka 2002.

Wakili Kweka alidai kuwa Novemba 6 mwaka 2011 huko Magomeni Mapipa Papa Msoffe anayetetewa na wakili wa kujitegemea Majura Magafu alimuua Onesphory Kitoli na kwamba upelelezi wa kesi ya hiyo bado haujakamilika. Kwa upande wake hakimu Mchome alisema kesi hiyo ambayo ipo mbele yake ni mauji na mahakama yake haina mamlaka ya kuisikiliza na kwamba mahakama yenye mamlaka ya kusikiliza ni Mahakama Kuu hivyo akamtaka mshitakiwa huyo asijibu chochote.

“Kwa sababu hiyo naiarisha kesi hii hadi Agosti 23 mwaka huu, kesi hii itakuja kwaajili ya kujatwa na kwa kuwa kesi hii haina dhamana naamuru mshitakiwa apelekwe gerezani”alisema Hakimu Mchome. Msofe ambaye alifikishwa kwenye eneo la mahakama hii jana saa 3:30 asubuhi chini askari kanzu watatu ambao mmoja alikuwa amebeba silaha na kisha kumuingiza kwenye selo ya mahabusu hiyo kwaajili ya kumuifadhi hadi ilipofika saa tano saa asubuhi mshitakiwa huyo aliingizwa kwenye chumba namba tisa cha mahakamani hapo na kuanza kusomewa maelezo yake huku ndugu na jamaa zake walikuwa wamefika mahakamani hapo kwaajili kusikiliza kesi hiyo ya ndugu yao.

Msofe ambaye jina lake limekuwa likitajwa mara kwa mara kwenye nyimbo zinazopigwa na Bendi za Miziki ya Dansi nchini ikiwemo Bendi ya FM Academia na Acudo Impact aliletwa na askari kanzu hao akitokea kwenye sero ya jeshi la polisi ambako kwa zaidi ya wiki moja sasa alikuwa akiishi ndani sero hiyo ya polisi kwaajili mahojiano na mshitakiwa huyo na hatimaye jana akafikishwa mahakamani hapo kwa kesi ya mauji.

Itakumbukwa hivi karibuni mjane mmoja aishie Mbezi Beach alilalamika kupitia vyombo vya habari kuwa Papa Msofe anataka kumdhuru nyumba aliyoachiwa na marehemu mumewe wake kupitia vyombo vya habari, hali iliyosababisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuingilia kati sakata hilo na hatimaye mjane huyo akarudishiwa nyumba yake aliyokuwa akidai Msofe anataka kumdhurumu. Aidha itakumbukwa kuwa hii siyo mara ya kwanza kwa Papa Msofe kufikishwa katika mahakama hiyo kwa makosa mbalimbali ya jinai.
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumamosi,Agosti 11 mwaka 2012

PICHA ZA MAPOKEZI MAKUBWA : JANUARY MAKAMBA ATUA BUKOBA LEO KUZOA WADHAMINI LUKUKI

$
0
0
Mh. January Makamba na mkewe, Ramona Makamba(kulia) baada ya kuwasili mkoani hapa Kagera kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho cha CCM. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.

Mh. January Makamba na mkewe, Ramona(kulia) mara baada ya kushuka kwenye Ndege leo hii Jumatano asubuhi juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.




Mh. January Makamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Mkoa wa Kagera 




Mh. January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa Uwanjani hapo ambao bila Shaka walikuwa wanasoma masomo ya Ndege inavyoruka na kutua na mengineyo kiujumla leo jumatano juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba




Mh. January Makamba akisaini kwenye kitabu cha Wageni kwenye Uwanja Ndege Bukoba.




Mh. January Makamba na mkewe, Ramona wakiteta jambo kwa furaha.




Msafara wa Bodaboda kuelekea Mjini kwenye mzunguko na kugeuka kwenye Makao makuu ya CCM Mkoa wa Kagera









Mjini Bukoba, Bodaboda wakimsindikiza Mh. Januari Makamba













Makamba akisalimia Wakazi wa Mji wa Bukoba walijitokeza kwa wingi 




January Makamba ameendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania na leo hii jumatano juni 24, 2015 yupo hapa Mkoani Kagera akiomba Uzamini. Mh. January Makamba amepokelewa na wakazi wengi wa Mkoa wa Kagera wakiwemo Vijana walijitokeza kwa wingi kumpokea. Picha na Faustine Ruta, Bukoba




Mh. Januari Makamba baada ya kusalimiana na Wakazi waliojitokeza kwenye Makao makuu ya CCM ameelekea katika Hospitali ya Mkoa kuwaona wagonjwa mbalimbali na Baada ya hapo ameelekea Wilayani Misenyi kwenda kusalimia Wakazi wa huko na Kuwaomba wamdhamini kwa kuweka saini fomu zake za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho cha CCM.




Mh. Januari Makamba Akitia saini Katika kitabu cha wageni Ofisi za CCM 





January Akizungumza na wakazi wa Bukoba waliojitokeza kumsikiliza katika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kagera leo








Wakazi wa Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mh. January Makamba kwa makini leo hii jumatano.



KWA PICHA NYINGI ZAIDI KUHUSU HABARI HIYO JUU BOFYA HAPA CHINI










Filed Under: kitaifa, Siasa on Wednesday, June 24, 2015

MASWALI NA MAJIBU : WEMA SEPETU AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA TANGU ATANGAZE NIA YA KUWA MBUNGE

$
0
0
Wema Abraham Sepetu ni mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
IMG-20150624-WA0006
Alikuwa LIVE kwenye show ya Clouds360 leo June 24 2015, mengine mapya kumi ambayo nimeyapata toka kwake ni haya hapa mtu wangu.
Unaijua ratiba yake ya kila siku; “Huwa naamka saa mbili au saa tatu inategemea na nini natakiwa kufanya siku hiyo… nafanya kazi za nyumbani kama mwanamke mwingine, napenda sana kupika. Nikiwa niko nyumbani sina kazi yoyote ninakaa na kupika.. kitu kinachochukua sana muda wangu ni shooting ya reality show na movie, sipendi sana kutokatoka”>>> Wema Sepetu.
IMG-20150624-WA0004
Hii ndio sababu iliyomsukuma akaona agombee Ubunge; “Nimezaliwa kwenye siasa, Marehemu baba yangu alikuwa ni mwanasiasa, mama yangu ni mwanasiasa mpaka sasa hivi ni Mwenyekiti wa Serikali za mitaa. Marehemu baba yangu aliwahi kuniambia kwamba anatamani niingie kwenye siasa, mwaka 2010 nilikuwa siko tayari.. nimejisikia vibaya baba yangu amefariki wakati sijaonesha kwamba  ninaweza kufanya, nina uhakika kule aliko anajisikia fahari”>>>

IMG-20150624-WA0011 

WEMA SEPETU: WAMESHANIPELEKA BUNGENI!

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa kuwa wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.
Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia kwamba watu wengi wanakubali awe bungeni.
“Nafurahi kwa kuwa wengi wameshanipeleka bungeni wakati mimi ndiyo kwanza nipo katika harakati za kuomba kuchaguliwa kupitia umoja wa wanawake Singida , lakini nafurahia kwa kuwa inaonyesha wengi wananikubali, ila nikipitishwa kuwawakilisha wana Singida bungeni sitaongea kama walivyonirekodi katika sauti hiyo,” alisema Wema kwa furaha.

BREAKING NEWS : MFANYABIASHARA WA MADINI MATHIAS MANGA APIGWA RISASI

$
0
0

Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha, na Diwani wa Kata ya Mlangarini Arumeru Magharibi (CCM), amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akielekea nyumbani.
Imeelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua kumpiga risasi.

JIONEE MABALAA WANAYOFANUYA WATU WANACHUO KWENYE MABONAZA HUKO VYUONI

ZARI AKISHAJIFUNGUA KUMUONA TU MTOTO UNATAKIWA UENDE NA MILIONI 20 KESHI!

$
0
0


Superstar Diamond Platnumz and Zari The Boss Lady are expecting to have their first child together soon as Zari is now heavily pregnant but according to new reports it won't be east for normal people and even the media to see the baby because those want to see the baby and take exclusive pictures especially the media have to pay Tsh.20 million.
According to a source from Diamond's team speaking with Globalpublishers there will be a special room for the princess and no one will be allowed to enter without permission from Zari and Diamond


And when Diamond asked he agreed, This thing has been normal to American stars, selling exclusive photos of their babies and parents interviews to media. And considering Diamond and Zari are top celebs it is OK.
 

WATU WAMELAANIKA . TAZAMA PICHA HIZI WAAMUA KUFANYA UPUUZI HUU HADHARANI

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>