↧
ZARI BIG BOSS LADY AMLIPUA SHABIKI WAKE LIVE
↧
SUPER STAR ALI KIBA AFUNGUKA KUHUSU KUMPONDA DIAMOND PLATINUMS

Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na taarifa iliyosambaa kuwa alitoa kauli dhidi ya Diamond kuwa anajisikia kichefuchefu kila akimsikia msanii huyo.
Akizungumza na Bongo5 jana, Alikiba alisema hata watu wake wa karibu wanajua hawezi kufanya jambo kama hilo.“Hiyo mimi nimeisoma juzi na mwenyewe sijaifurahia. Vilevile na kibaya zaidi inaonesha eti kwamba mimi nimesema nikimsikia Diamond najisikia kichefuchefu, mimi namchukia Diamond,” amesema.
“Yaani kwa uelewa wangu na akili yangu timamu hata watu wanaonielewa mimi hata uwezo wa kusema hivyo sina na siwezi, kibinadamu
↧
↧
MABALOZI WA NYUMBA KUMI WATAKIWA KUSAIDIA KUWAPATA WAARIFU WA MAUAJI YA ALBINO
↧
TANGAZO LA MSIBA TANZANIA NA MAREKANI
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A. MZIGE 0713 410 531, 0754 495 998.
Inna Lillahi, wa inna ilaihi ra'ajiun.
↧
SUPER STAR AUNTY EZEKIEL NA IYOBO WATUPIA PICHA YA KIMALAVIDAVI HUYU IYOBO AKIWA AMEMBAMBIA
↧
↧
SUPER STAR WEMA SEPETU HATIMAYE AMUWEKA HADHARANI BAADA YA KUMFICHA KWA MUDA MREFU HATIMAYE
↧
ALI KIBA ANATAKA KUCHUKUA VYOTEE KUANZIA TUZO MPAKA WAREMBO WA DANGOTE..BOFYA HAPA KIROHO SAFI UJIONEE WEMA NA JOKATE WALIVYOVYOFUNGUKA

They both congratulate Ali Kiba for KTMA.During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
BOFYA HAPA VIDEO WEMA AKIFUNGUKA LIVE
↧
OMMY DIMPOZ AFUNGUKA LIVE KUWA YEYE NI TIMU ALI KIBA
international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
↧
MWENYE NYUMBA APANGUA SKENDO YA ALI KIBA,INGAWA KWA TOWN NDIO HABARI YA MJINI

LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.
Habari kutoka kwa chanzo makini zinaeleza kuwa, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kuwa, kwa sasa Kiba ëanatokaí na Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo ëKidotií huku Kiba mwenyewe akikataa madai hayo...
↧
↧
ROCKSTAR WAJIBU TUHUMA ZA KUUZA WIMBO WA DIAMOND MTANDAONI

Malamiko haya yalitolewa na Road Manager wa Diamond Platnumz ‘Salaam’.
Jibu hilo limetolewa na afisa mahusiani wa Rockstar Lucy Ngongoteke, Dada Seven Mosha hakuwa tayari kuzungumzia issue hii.


Interview ilifanywa na Bongo5
↧
JB NA STEVE NYERERE WAUKWAA UBALOZI KWENYE SHIRIKA MOJA LA NDEGE
Mastaa wakongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB, na Steven Mengere 'Steve Nyerere’ wamekuwa mabalozi wa shirika la utoaji huduma za usafiri wa anga la JAMBO AVIATION LTD.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram Steve Nyerere aliweka picha hizo hapo juu zikiwaonyesha wawili hao wakiwa wamebeba mfano ya ndege za shirika hilo na kuandika.
“Nasema asanteni leo nimekuwa BALOZI wa JAMBO AVIATION LTD, Ni mimi na JB”
Hongereni sana.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram Steve Nyerere aliweka picha hizo hapo juu zikiwaonyesha wawili hao wakiwa wamebeba mfano ya ndege za shirika hilo na kuandika.
“Nasema asanteni leo nimekuwa BALOZI wa JAMBO AVIATION LTD, Ni mimi na JB”
Hongereni sana.
↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY/ALHAMISI 25/6/2015 LIVE!!
↧
ALI KIBA AJICHANYANYA KWENYE DALADALA TENE LEO JIONEE HAPA
MSANII wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini ambaye pia ni mshindi wa tuzo za KTM 2015, Ali Kiba ameendelea kuzunguka kwenye daladala zinazofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam kama njia ya kuwashukuru mashabiki wake.
Mwimbaji huyo wa Chekecha cheketua alianza ziara yake hapo jana kwa kutumia usafiri wa daladala kuzunguka viunga vya jiji la Dar es Salaam akianzia kituo cha Kariakoo hadi Mbagala huku akiwalipia nauli abiria aliowakuta.
Pia alitembea na daladala kutoka Kariakoo akipitia vituo vya Magomeni, Manzese, Ubungo Simu 2000, Mwenge, Makumbusho kabla ya kumalizia Kinondoni Mkwajuni.
Akizungumza na mashabiki kwenye daladala hizo, Ali Kiba alisema aliamua kupanda daladala kwa kuamini ataweza kukutana na mashabiki wake ambao hawezi kumuona na kutoa madukuduku yao.
“Ninawashukuru kwa mapenzi yenu kwangu, bila nyinyi nisingeweza kupata tuzo hizi, nisingeweza kuwakusanya wote pamoja na kuwashukuru, nimeona kwa kutumia usafiri huu wa daladala nitaweza kuonana na baadhi ya mashabiki wa muziki wangu,” alisema.
Aliwataka mashabiki hao kumuuliza maswali au kumshauri, na alipoulizwa kama ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji Wema Sepetu, alikana akidai wanafanya kazi tu pamoja.
BONYEZA HAPA JIONE VIDEO ZIARA YA ALI KIBA
↧
↧
SUPER STAR ZARI BIG BOSS LADY AKIMPIKIA MPENZI WAKE DIAMOND PLATINUMS
international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
↧
SUPER STAR ZARI BIG BOSS LADY APEWA ZAWADI YA BAISKELI YA MILIONI 5

DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta Fadhili Emily, amemnunulia baiskeli ya kubebea mtoto, mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi pindi atakapojifungua.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko akiwa nchini Sweden alikoenda kwa ziara binafsi, Dokta Fadhili alisema kwa kutambua yeye ni mtu wa Kigoma anakotokea Diamond, ameona amnunulie shemeji yake huyo baiskeli hiyo ambayo kwa mujibu wake, ina thamani ya shilingi milioni 5 za Kitanzania.

Zari anatarajiwa kujifungua kati ya Agosti au Septemba, mwaka huu ambapo ujio wa mtoto huyo umekuwa ukitengeneza vichwa vya habari kila kukicha.
↧
MAHABA NIUE DIAMOND PLATINUMS AKIMBEMBELEZA ZARI BOSS LADY WAKIWA HOT
↧
MREMBO ALIYEMFUKUZA ALIKIBA KWENYE NYUMBA ALIYOKUWA AKIISHI KUNDUCHI
↧
↧
PATASHIKA NGUO KUCHANIKA! MWANAMKE AVULIWA NGUO BAADA YA KUFUMANIWA NA MUME WA MTU.. JIONEE VIHOJA HIVI

The photos attached below show a woman mercilessly beating another for sleeping with her husband.
The woman then goes on to strip the adulterous woman and embarass her in public. The neighbours who watched on with shock took the pictures seen here and shared it. It is sad that couples have to resort to washing their dirty linen in public and even sadder that the trend of stealing others husbands has not abated. What do you think?
The woman then goes on to strip the adulterous woman and embarass her in public. The neighbours who watched on with shock took the pictures seen here and shared it. It is sad that couples have to resort to washing their dirty linen in public and even sadder that the trend of stealing others husbands has not abated. What do you think?
↧
MWANAMKE APOTEZA SEHEMU ZAKE ZA SIRI MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU
↧
BILLIONEA MWANAMKE MWEUSI TAJIRI ZAIDI DUNIANI_AMPIKU OPRAH WINFREY
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.

Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana utajiri wa dola bilioni 2.5.
Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
↧