Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

WAPENZI HAWA WAFARIKI DUNIA KWA KUDONDOKA KUTOKA GHOROFA YA TANO WALIKO KUWA WAKIFANYA MAPENZI PEMBEZONI MWA DIRISHA...

$
0
0

watu hawa inaodaiwa kuwa ni wapenzi wamedondoka kutoka ghorofani..sababu hasa kilichofanya mpaka umauti uwafike kwa namna hiyo bado haijajulikana hali ambayo imewafanya wengi
kushikwa na bumbuwazi ...Japo wengi wanadai wapenzi hao walikuwa wakionekana hata kwa wapita njia wakifanya mapenzi dirishani na hivyo kuna uwezekno kuwa mwanaume alikosa balance na hivyo

UKITAZAMA PICHA HIZI ZA HUDDAH KUTOKA HUKO INSTAGRAM NDIO UTAAMINI NI CHIZ FRESH

SHILOLE: CHECK OUT FOUR PHOTOS OF THE DAY OF SHILOLE WEARING HIJAB AT THIS HOLLY MONTHS OF RAMADHAN

HUYU NI MDOGO WAKE NA ZARI HEBU JIONEE ALIVYOJAALIWA DAH SIO MCHEZOO>>>PICHAZ>>

SUPER STAR WEMA SEPETU AFUNGUKA KUWA HAWEZI KUMSAPOTI DIAMOND PLATINUMS KWENYE MTV AWADRS

$
0
0
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards  kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..
Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya Instagram....

PICHA ZA JIMAMA LINALOJIUZA KWA SHILINGI ELFU 5

DIAMONF THE PLATNUMZ PHOTO WEARING ISLAMIC WEAR KANZU

$
0
0
as it is known that artist diamond the platnumz is a muslim, by this holly months he decided to go back to his God and change his attitude untill the months ends, so from today onwards he will be wearing islamic wear like kanzu and other muslim clothes like long jeans and cardet... Up to the end of this holly months..

CRISS BROWN MWAKA WAKE KILA CLUB AKIENDA XMPENZI WAKE YUPO NA BWANA MPYA.

$
0
0
Rihhana mpenzi wa zamani wa Criss Brown akiwa hollywood nightclub na mpenzi wake mpya  Karim Benzima mchezaji wa Real Madrid amekutana uso kwa uso na Criss Brown.Hii ni mara ya pili kwa mkali huyo wa miziki laini kukutwa na majanga hayo baada ya siku kadhaa kukutana club na mpenzi wake wa zamani Karuche akiwa na njemba nyingine

NI SHIDAAAA CHEKI HIZI PICHA ZA MREMBO HUYU KISHA NIAMBIE KAMA UZURI WA MWANAMKE TABIA AU SHAPE YAKEEE

DIVA WA CLOUDS FM AWATUKANA TUSI ZITO WANAOSEMA HAWEZI UBUNGE.

$
0
0
Diva Loveness Love akiwa mwanamke pekee kuonesha nia ya ubunge tangu miaka kadhaa ya uchaguzi mkuu kukaribia,Hivi karibuni alijinadi akidai muda umefika wa kutendea haki nia hiyo.Leo amedai maoni ya watu asilimia sabini wana muunga mkono,asilimia thelathini wanadai hawezi jukumu hilo akajibu shambulizi kwa tusi zito la lugha ya kigeni.''nukuu 30 percent go f'''''''ck''.Ndugu Zitto Kabwe enzi za mahusiano ya mapenzi alimfundisha vingi kuhusu siasa amekua akidai hivyo.

HUU NDO MWONEKENO MPYA WA LULU MICHAEL...HII NGUO NI BALAA

HAWA DADA ZETU WAMEZIDI KUJIABISHA KWA MAVAZI YA AIBU

ELIZABETH LULU MICHAEL AND ZARI THE BOSS LADY HAVE SOMETHING IN COMMON

KINANA KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LEO JIJINI MWANZA

$
0
0

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo atahutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha na kurushwa live katika vituo vitatu vya televisheni vya Star Tv, TBC na ITV.
Mkutano huu ndio utakuwa mkutano mkubwa wa kuhitimisha ziara za Katibu Mkuu nchi nzima alizoanza miaka miwili iliyopita.


Katibu Mkuu katika ziara zake ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye .

 Maandalizi ya kufunga vifaa vya sauti yakiwa yamekamilika kwenye uwanja wa Furahisha.


 Katibu w NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihakikisha kila kitu kipo sawa.

 Sauti zikijaribiwa
 Malikia wa Mipasho nchini Hadija Kopa (kulia) akiwa jukwaani na wasanii wa TOT Taarab tayari kwa maandalizi ya mwisho.
 Wanamuziki wa bendi ya TOT wakijaribu vifaa vyao.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijaribu gitaa wakati wa majaribio ya bendi ya TOT,kulia pichani ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu.


(Picha na Adam Mzee)

WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI

$
0
0
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani 

Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakikamwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya
iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.  

BOFYA HAPA KUJUA SIFA ZAO ===>>

VIDEO HII YA DODOMA SINGIDA YA MTANZANIA,YAPIGWA MARUFUKU HUKO KENYA,IANGALIE IKO HAPA V

$
0
0
Mzaliwa wa Tanzania Colonel Mustafa ni msanii wa siku nyingi kwenye muziki Kenya alikokulia na kutengeneza nyimbo nyingi zikiwemo ‘hey baby’ ft. Marya na Mtaani.com ft. Avril ambapo this time yuko kwenye headlines na hii video yake mpya ya Dodoma Singida.
Kwenye Interview Mustafa amethibitisha kwamba video yake mpya imefungiwa kuonyeshwa kwenye vituo vya TV kutokana na warembowalioonekana ndani yake, yani kutokana na mavazi waliyovaa na kujiachia.
Mustafa amesema hajajutia uamuzi wa kuifanya hiyo video na sio kitu kibaya kwake, mbona za kina Nicki Minaj zilizowazi kuliko hizi zinapigwa na vituo hivyohivyo vya TV Kenya? hii inakuwa sio video ya kwanza kutangazwa kutoonyeshwa kwenye TV, zilizotangulia ni ‘nishike’ ya Sauti Sol na You guy ya ‘P unit’   


MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza jambo, wakati Mh. Lowassa alipofika ofisi ya CCM Mkoa huo, Mtaa wa Lumumba, leo Juni 27, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akizungumza jambo kumuhusu, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (kulia), wakati alipofika kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es Salaam kusaini kitabu leo Juni 27, 2015, wakati akiwa katika ziara yake ya kutafuta saini za WanaCCM wakumdhamini ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wanaCCM 212, 150 kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya WanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakimshangia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) .
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, Mkewe Mama Regina Lowassa pamoja na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu wakiwa sambamba na wanaCCM wengine wakati wakiwasili kwenye Ofisi za CCM Tawi la Ilala Kota, Mchikichini jijini Dar leo, Juni 27, 2015.

Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Ernest Chale akikabidhi fomu za Wadhamini kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa leo Juni 27, 2015. Jumla ya WanaCCM 44,299 wa Wilaya ya Ilala Wamemdhamini Mh. Lowassa ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu akiwasalimia wananchi wake.


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akiwasalimia wanaCCM wa Wilaya ya Ilala, Jijini Dar.





Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia WanaCCM wa Wilaya ya Ilala, waliokusanyika kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Tawi la Kota, Mchikichini Jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Assah Simba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa kuwasalimia na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Ilala waliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 27, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Ilala waliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 27, 2015.
Sehemu ya Vijana wa CCM wakifatilia kwa makini salam za Mh. Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya kinamama wenye ulemavu wa Miguu waliokuwepo kwenye hadhara hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na kinamama wa CCM Wilaya ya Ilala.
Umati wa Watu ukiwa umejipanga barabarani kumuona Mh. Lowassa akipita kuelekewa Ofisi ya CCM Wilaya ya Temeke, Jijini Dar leo Juni 27, 2015.
MwanaCCM Wilaya ya Temeke akisini fomu ya Udhamini mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa.
Katibu wa CCM Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge akikabidhi fomu za Wadhamini kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa leo Juni 27, 2015. Jumla ya WanaCCM 72, 100 wa Wilaya ya Temeke Wamemdhamini Mh. Lowassa ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akisalimia wananchi wake.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Temeke kwa kumdhamini ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Jiji la Dar leo ilikuwa ni shangwe tupu kwa kila alieweza kumuona Mh. Lowassa akipita kwenye njia zilizo jirani na maeneo yao ya kazi.
Dereva akipuliza tarumbeta kuonyesha furaha yake kwa Mh. Lowassa.
Mh. Lowassa akiwasili kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni, Mkajuni jijini Dar.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Mtoto Shadrack Samuel (5) alitaka kumsalimia na kumuona leo Juni 27, 2015. 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo Juni 27, 2015. 
Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azzan akisalimia wananchi wake.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoa wa Dodoma akiwasalimia wanaCCM wa Kinondoni jijini Dar.
Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akizungumza machache na WanaCCM wa Wilaya ya Kinondoni, Waliomdhamini Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa. ambapo kwa wilaya ya Kinondoni amepata udhamini wa wanaCCM 95, 251 na kufanya jumla kuu kuwa 212, 150 na kuifanya Dar es salaam kuwa Mkoa wa kwanza kuwa na idadi kubwa ya WanaCCM waliomdhamini Mh. Lowassa.
Wadau Mkutanoni.

Mama Regina Lowassa akisalimia wanaCCM wa Kinondoni.
Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisani fomu ya udhamini mbele ya Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono mgombea huyo. zoezi hili limefanyika jioni ya leo Juni 27, 2015 kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni, Mkwajuni Jijini Dar. ambapo kwa wilaya ya Kinondoni amepata udhamini wa wanaCCM 95, 251 na kufanya jumla kuu kuwa 212, 150 na kuifanya Dar es salaam kuwa Mkoa wa kwanza kuwa na idadi kubwa ya WanaCCM waliomdhamini Mh. Lowassa.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akizungumza jambo mbele ya umati wa WanaCCM wa Wilaya hiyo leo Juni 27, 2015.
WanaCCM wa Kinondoni wakisikiliza kwa Makini Salamu za Mh. Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Kinondini Jijini Dar es Salaam kwa kumdhamini ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 212, 150 wamdhamini Mh. Lowassa jijini Dar.

JANUARY MAKAMBA NA SAFARI YA KUSAKA WADHAMINI MKOA WA MANYARA, BABATI

$
0
0
Mh January Makamba Jana baada ya Kumaliza Singinda alielekea Mkoa wa Manyara, Babati kuomba udhamini na kuzungumza na Wanachama pamoja na Wakazi wa Babati juu ya dhamila yake ya kuomba nafasi ya kuongoza Tanzania.
Mh January alipokelewa vizuri sana na wakazi Babati na akapewa udhamini wa kutosha. January makamba akizungumza na wanababati alisema kuwa Urais sio kama Ngoma ya Mdundiko unaingia na kuifaita unapofika mbele unajikuta haujui umefikaje na haujui jinsi ya kurudi, kabla ya kuomba nafasi hiyo inabidi ujiulize maswali katika nafsi yako na ujilishe kuwa unaweza, kwanza ujiuliza je unamajawabu mapya ya kutatua changamoto za watanzania?
Vijana wa Bodaboda Babati waliojitokeza kumpokea Mh January Makamba wakiwa katika msafala kuelekea Ofisi za CCM Babati.

Mh January Makamba akisalimiana na wakazi pamoja na wanachama wa CCM waliojitokeza kumsikiliza Babati.


Shekhe akitoa dua kabla ya zoezi zima la Mh January Makamba kuzungumza na wakazi wa Babati


Askof Pia akitoa neno na kumuombea January Makamba katika safari yake ya kutaka kuiongoza Tanzania.


Mh January Makamba akivishwa Shuka na moja ya Mzee wa Babati kwa mira pamoja na desturi za Babati 












Mh January Makamba akimtambulisha Mke wake kwa wakazi wa Babati.





PICHA AMAZING ILYOTINGISHA HUKO INSTAGRAM>

THE MAGAZETI YA BONGO LEO SUNDAY /JUMAPILI 28/5/2015 LIVE!!

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>