↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO MONDAY /JUMATATU 29/06 /2015 LIVE!!
↧
JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD!

BLANDINA Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, staa huyo alisema vurugu za kimapenzi anazokutana nazo kila mara, zimekuwa zikimfanya arudishe mawazo nyuma ya kwamba, angeendelea na uhusiano na McDonald, angekuwa na maisha yasiyokuwa na mateso ya kihisia.
Hata hivyo, bila kumtaja, Johari alisema mpenzi aliyenaye kwa sasa anampa ‘stresi’ nyingi kwa kumchanganya na wanawake tofauti, jambo ambalo hakuwahi kukutana nalo katika maisha yake ya kimapenzi na McDonald.
Alisema kuwa, licha ya kuwa ni muda mrefu tangu kutengana kwao, bado wana uhusiano wa kawaida, ikiwemo kusalimiana na kubadilishana mawazo ya kimaisha na kwamba kama mwanamke anayehitaji faraja ya kweli, huingiwa na maumivu ya kuukosa uwepo wa mwanaume huyo na haiwezekani kurudiana kwani McDonald ana familia.
“Unajua stresi za mapenzi ninazokutana nazo zinanifanya nikumbuke mbali sana, uhusiano wangu na McDonald ulikuwa wa furaha sana, mpenzi wangu wa sasa ananiumiza kwa mengi, lakini kubwa ni kunichanganya na wanawake wengi,” alisema Johari.
Licha ya kukataa kumtaja mpenzi wake wa sasa, huko nyuma Johari aliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mwigizaji Chuchu Hans.
↧
↧
HUU NI MWEZI MGUMU KWA DIAMOND PLATINUMS, CHEK RATIBA YAKE

Sasa >> Nana media tour Nigeria ambapo amesafiri na team yake watu 5, na gharama zote zimelipwa na cocacola mpaka watakapo rudi Tanzania kupitia campaign ya #Iamareason
3, July >> Nigeria road to mama
4, July >> Tanzania, sherehe ya miaka 80 ya Yanga, jangwani
8, July >> Singida, with Mohammed Dewji
18, July >> South Africa, MTVMAMA2015 ambapo atatumbuiza na NEYO
24, July >> Kilimanjaro Miss ambassador ambapo show inaweka rekodi kuwa na viingilio vikubwa nje ya dares salaam
30,000/=, mpaka 300,000/=
25, July >> South Africa, African achievers awards ambapo amekuwa nominated kama Most inspiring icon
↧
MCHUNGAJI AWAVUA NGUO WAUMINI WAKE WA KIKE

Mchungaji huyu alifanikiwa kuwashawishi waumini wa kike wa kanisa lake kuvua nguo mbele ya kanisa lote ili awafanyie maombezi kwa kuwakanyaga.
Mchungaji huyo anasema kwamba utapata uponyaji pale tu ambapo utafuata njia yake ya kuvua nguo na kubaki nusu uchi. Cha kushangaza waumini wake wengi (wanawake) hawakusita kumtii mchungaji huyo.
Miongoni mwa waumini hao ni wake za watu ambao nao wameshiriki katika uvuaji wa nguo . je ni wapi dunia inakwenda ?





↧
MTOTO WA MTANGAZAJI GADNER G ABASHI "CAPTAINIII" HAKIKA NI BINTI MREMBO
↧
↧
HIKI NI KITU KINGINE KINACHOWATOFAUTISHA ZARI NA WEMA
↧
TAZAMA ALICHOFANYIWA MASOGANGE HUKO DUBAI, LAZIMA UMWAGE MACHOZI TU:
↧
VITUKO VYA WAGOMBEA URAIS MWAKA HUU HUYU NAYE YUMO MAJANGAZZZZZ LIVE!~!
↧
NA HAYA NDIO MAJINA YA WAGOMBEA URAIS AMBAO MPAKA JANA WALIKUWA BADO WANASUA SUA KURUDISHA FOMU ZAO ZA URAIS LIVE!!
Wagombea 33 kati ya 42 wanaoomba kuteuliwa na CCM kugombea Urais,wamerejesha fomu hadi saa 12 jioni ya julai 2,2015.ambapo mwisho ya kurejesha fomu ni saa 10:00 jioni ya julai 2,2015.Hapa chini ni majina ya wagombea urais ambao wameshindwa kurejesha fomu hizi.
1:January Makamba
2:William Ngeleja
3:Antony Chalamila
4:Helena Elinawinga
5:Patrick Chokala
6:Godwin Mwapongo
7.Maliki Malupu
8:Luhaga Mpina
9:Bw Kalokola
Note:Hii habari itakuwa inabadilishwa kila baada ya dk 30,kuondoa waliorejesha.
Waliorejesha fomu hadi julai 1,2015 ni hawa wafuatao.
----------------
The CCM Secretary for Organisation, Muhammed Seif Khatib, said the number might increase taking into account that the deadline for returning the forms is near.
He said unlike when they were picking up the forms, there was a clear schedule but when returning it is done according to who finished his/her assignment the earliest.
The number of candidates seeking nomination has reached 42 and the deadline set for returning forms is July 2, though he said there will be no penalty for those who will fail to do so.
Others who have returned forms are as of yesterday include Minister for Transport, Samwel Sitta, Vice-President, Dr Mohammed Gharib Bilal, Makongoro Nyerere, Dr John Magufuli, Stephen Wassira, Ambassador Ali Abeid Karume, Dr Titus Kamani, Boniface Ndengo, Mathias Chikawe, Prof Sospeter Muhongo, Ambassador Amina Salum Ally, retired Chief Justice Augustino Ramadhani, Leonce Mulenda and Prof Mark Mwandosya, the Minister in the President's Office (Special Duties).
Those who are yet to return their forms include Prime Minister Mizengo Pinda, Minister for East Africa, Dr Harrison Mwakyembe, retired Prime Minister, Frederick Sumaye and Ex-premier Edward Lowassa.
Others are Dr Asha-Rose Migiro, Monica Mbega, Dr Mwele Malecela and Ritha Ngowi, the Minister for Natural Resources and Tourism, Lazaro Nyalandu, the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe, Deputy Minister for Finance Mwigulu Nchemba, Deputy Minister Communication, Science and Technology, January Makamba.
Others are Sengerema member of Parliament William Ngeleja, Nzega MP, Dr Hamis Kigwangala, Dr Hans Kitine, Ambassador Augustino Mahiga, Prof Sospeter Muhongo, a farmer from Mjimtala village in Kasulu District, Kigoma Region Wil Eldefonce Bilohe.
↧
↧
MARATHON YA URAIS CCM HATIMAYE WAZIRI MKUU MSTAAFU AFUNGUKA KUHUSU KUITWA FISADI SOMA HAPA LIVE!!
↧
MWEZI MTUKUFU WAMWEPUSHA AMANDA NA SKENDO
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote aliyowahi kufanya siku za nyuma.
Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda alisema kwa mwezi huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha maungo yake ya sehemu za siri bali atakuwa anajisitili ili kujiepusha na kitendo cha kuwaingiza majaribuni wanaume hasa walio kwenye mfungo na mpaka mwezi huu unaisha atakuwa amezoea kuvaa nguo hizo.

“Naweza kusenma kuwa mfungo wa mwezio Ramadhani umeniweka kando na skendo hasa za kuvaa nguo fupi ambazo huwa zinawaingiza kwenye mitego wanaume wasio weza kujizuia wanapoona maungo ya wanawake hasa waliovaa nguo zenye ushawishi,” alisema Amanda.
Aidha, Amamnda aliwataka hata wasanii wenzake hasa wa kike kuheshimu kipindi hiki kwani ni cha kuvuna neema kutoka kwa Mungu kutokana na kutibu madhambi yote yaliyofanyika siku za nyuma na ikiwezekana na wao uwe mwanzo wa kubadilishwa huhusu kuachana na skendo za kujitakia hasa zile za kutengeneza ili waendelee kusomeka kwenye magazeti
↧
INTRODUCING THE NEW WINDHOEK DRAUGHT LIVE AT UWANJA WA MAONYESHO SABA SABA GROUND CHECK THIS OUT LIVE!!
↧
WENYEVITI WA CCM MIKOA 15 WAJILIPUA NA MGOMBEA URAIS LIVE!!
↧
↧
NA LIWE LIWALO BONGO MUVI STAR ALIYEPANIA KUWA MBUNGE SOMA HAPA HABARI YAKE LIVE!!
↧
VITUKO VYA WAGOMBEA URAIS CCM HIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CCM MKOA WA GEITA MSUKUMA ALICHOMFANYIA MGOMBEA WAKE URAIS LIVE!!
↧
VITUKO VYA URAIS 2015:- BAADA YA TAREHE 11/7 HUENDA HUYU DADA AKAWA YOUR FIRST LADY JILIZISHE NOW NA MAPEMA LIVE!~!
↧
HAYA NDIO MAJINA NA PICHA ZA WENYEVITI 15 WA CCM MIKOA WALIOJITOKEZA JANA KUMSINDIKIZA DODOMA MGOMBEA WAO WA URAIS KURUDISHA FOMU LIVE!!
![]() |
Mzee Ndejembi Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa CCM wa Wenyeviti wote wa Mikoa Tanzania. |
↧
↧
KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA PICHA ZAKE HIZI KUZUA UTATA MTANDAONI BAADA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBENGE VITI MAALUMU HUKO SINGIDA NI BALAA
↧
BONGO MUVI SUPER STAR IRENE UWOYA APOKEWA KWA KISHINDO TABORA KUTAFUTA UBUNGE WA VITI MAALUM VIJANA ONA HAPA LIVE!!
![]() | |||
↧
BREAKIN NEWZZZ!!:- MOSHI MJINI KIMENUKA LIVE!!....COMING SOON...STAY TUNED!!
↧