Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

PICHA ZA KUMKASHIFU DIAMOND YASAMBAZWA MITANDAONI


MAAJABU YA MOROGORO! WAAMKA KULA DAKU, WAMKUTA NYOKA MWENYE HIRIZI!

$
0
0
Nyoka huo baada ya kuuawa.
Dustan Shekidele, Morogoro
Inatisha! Ndani ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia ya mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Hamis Juma, imekumbwa na mauzauza baada ya kuamka ili kula daku na kukutana na nyoka mwenye hirizi mlangoni.


Mama mwenye nyumba hiyo, Mama Nurdin akitaharuki baada ya kutokea hali hiyo.
Tukio hilo lililozua taharuki lilijiri mapema wiki hii kwenye nyumba ya familia hiyo inayoishi Mtaa wa Mkota Kata ya Kiwanja cha Ndege mjini hapa.
Majirani wakishangaa hali hiyo.
Baada ya kutonywa juu ya tukio hilo, Ijumaa lilifika kwenye familia hiyo alfajiri na kushuhudia nyoka huyo aliyekuwa na hirizi na kitambaa cheusi shingoni akiwa mlangoni.
Akisimulia kisa hicho baba wa familia hiyo, Hamis alisema kuwa waliamka saa 7:00 usiku ili kupata daku kama kawaida kwani walianza kufanya hivyo tangu walipofunga.
“Wakati tukiwa sebuleni tunakula, tulianza kuona damu nzito ikisambaa kutokea mlangoni.
“Ukweli tulishtuka sana. Tulipofungua mlango tulishtuka kuona nyoka mkubwa mlangoni akiwa na hirizi huku damu zikiendelea kusambaa kutoka pale alipokuwa yule nyoka.
“Ilibidi tufunge mlango hadi alfajiri tuliamua kuwaita watu waje kushuhudia na kusaidia kumuondoa,” alisema Hamis.
Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Mohamed Matikula akimpa pole Mama Nurdin.
Katika kutafuta msaada wa kumuondoa nyoka huyo na kusafisha damu zilizozagaa, alitokea mjomba wa familia hiyo ambaye jina halikupatikana akaanza kumtoa kwa kutumia mti, jambo lililosababisha taharuki kwa watu waliokuwepo wakaanza kukimbia.
Baada ya kumtoa nyoka huyo, watu walianza kumpiga wakitaka kumchoma moto lakini alitokea mwanaume asiyefahamika akamkwapua na kuanza kukimbia naye mitaani.
Wakati akikimbia, kundi la watu lilikuwa likimkimbiza ndipo alimtupa na kutokomea kusikojulika.
Katika hali ya kushtua zaidi, nyoka huyo alibadilika, akawa hana hirizi huku akionekana ‘kadogo’ jambo lililoibua madai ya ushirikina hivyo watu wakamuua.

Baba mwenye nyumba hiyo, Hamis Juma.
Kwa upande wake mke wa Hamis, Mama Nurdin ambaye ni mjumbe wa mtaa huo, alishtushwa na tukio hilo na kusema familia yake imekumbwa na hofu kubwa.
Uongozi wa Kata ya Kiwanja cha Ndege ukiongozwa na Diwani, Mohamed Matikula na Afisia Mtendaji, Diha Zongo walifika eneo la tukio na kuwachukua baba na mama wa familia hiyo hadi ofisi ya kata kwa mahojiano zaidi.

AUNT EZEKEL : NITAMUUNGA MKONO WEMA SEPETU KATIKA SAFARI YAKE KUGOMBEA UBUNGE

$
0
0
 
Diva wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel, amefungukia kuhakikisha anampa sapoti ya nguvu shosti wake, Wema Sepetu katika harakati zake za kuwania ubunge.

unt amesema kuwa pamoja na kwamba yeye hafahamu siasa hata kidogo na hatarajii kujiingiza huko, lakini anatambua Wema ameamua kutangaza nia ya kugombea, hivyo kama rafiki yake mkubwa atahakikisha anazunguka naye kila sehemu ili kumsaidia atimize ndoto zake za kuingia mjengoni na kuwatumikia wananchi wa Singida.  

ZARI ASHINDWA KUJIZUIA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO. WANASWA WAKI 'NONIINO' NA DIAMOND KWENYE LIFT

THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAY /IJUMAA 3/7/2015 LIVE!!

$
0
0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC00199
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

DIAMOND PLATINUMS AVUNJA REKODO ASHIKA NO.1 KATIKA TOP TEN AFRIKA

$
0
0
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji Afrika (TRACE TV Urban) July 2, 2015 single ya ‘Nana’ Diamond ft Mr Flavour imeshika nafasi ya kwanza.
Kwenye hiyo chati wiki hii number mbili imeshikwa na single ya Bobo ya Alamide, ya tatu ‘Fans Mi ya Davido ft Meek Mill na ya nne ni The Bagger ya Runtown ft Uhuru na ya tano ni Talking Over ya Yemi Alade ft Phyno.
Mpaka sasa ‘Nana’ kupitia mtandao wa Youtube kwenye channel ya Diamond Platnumz video hiyo imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni 2 ambapo mpaka saa sita usiku July 2, 2015 2014 ni watu 15,276 walikua wameipenda kwa kulike huku watu waliodislike ni 1847.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha video ya Diamond Platnumz ft Mr Flavour ‘Nana’ ikiwa imeshika No.1 kwenye Top 10 ya Afrika kupitia kituo cha kimataifa chenye huduma ya kulipia Trace TV.

.

.

.

MSANII PEKEE WA KIUME MWENYE DEMU ALIYE NA MPUNGA MREFU.

$
0
0
Muna Alphonce mke wa mwimbaji wa muziki wa dansi Kalala Junior.Muna amemfanyia suprise ya birthday mme wake kwenye hoteli ya hadhi ya nyota tano,mc wa shuhuri hiyo alikuwa Maimartha wa Jesse wageni waalikwa Lulu Michael ndani.Amekuwa akitanua sehemu za starehe zenye hadhi ya hali ya juu bila kusahau safari za nje ya nchi kwake ni kawaida kama anaenda mkoani.




WAPENZI WA JINSIA MOJA WAFUMWA...KELELE ZAWAKERA MAJIRANI..POLISI WAVAMIA WAKUTA MAMBO YA AJABU CHUMBANI

$
0
0
Warembo, Maua Sadick (mwenye shati la draft) na Lucy Fred wakipozi kimahaba.
Warembo hao walikamatwa Januari 12, mwaka huu saa sita mchana, nyumbani kwa Maua wakidaiwa kufanya ngono kinyume cha sheria ya kujamiiana ambapo watu wa jinsia moja ni makosa kukutana kimwili.

KIZAZI KILICHOPOTEA: HEBU JIONEE VIMBWAGA WANAVYOFANYA WADADA HAWA HUKO CLUB

LE MAJANGAZ LE MBEBES KUTOKA MBELEZ ALIVYOPAGAWISHA

JIMAMA HILI LINAVYO MWAGA RADHI

WADADA WA NAMNA HII NI SHIDAAH KUWA NAO KIMAHABA

$
0
0

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu,ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.
2.Dada wa rafiki yako kipenzi Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.

3.Wanawake wenye mambo mengi Kiukweli, kutoka na watu kama hawa kinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ila mwisho wa siku itakuingiza kwenye matatizo. Mara zote kumbuka ni vyema kuwa salama kuliko kujuta. Usijiingize kwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutia kwa maisha yako yote.
4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza (Wachunaji) Kuwa mbali nao, labda kama unataka salio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi.
5.Demu wa zamani wa rafiki yako Kama unathamini urafiki wako na mshikaji wako achana na habari ya kutoka na aliyekuwa demu wake. Mambo yanaweza kubadilika na kuwa kama au zaidi ya yaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kula kwako zaidi. Wakati mwengine inaweza tengeneza chuki kati yako na rafiki yako, huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka au kumnyemelea demu wake toka zamani.
Wadau mademu wapo wengi sana, fanya kutafuta wengine nje ya hawa….. ni ushauri tu.

AMRI 10 KUU ZA KUMFANYA MWANAMKE AWE NA FURAHA!

$
0
0
1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI.

2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO.

3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA ASIVYOPENDA.

4. MSIFIE/MPONGEZE VIZURI NA KWA DHATI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO.

5. MNUNULIE KADI AMA MAUA, WAKATI MWINGINE.SIO LAZIMA VYA BEI MBAYA.

6. MPELEKE KWA CHAKULA CHA JIONI. SIO LAZIMA IWE HOTEL YA NYOTA 5 KILA SIKU. SEHEMU YEYOTE NZURI ITAFAA.


7. KUWA NA UPENDO, SIO FUJO. MAHITAJI YAKE DAIMA YAJE KABLA YA KWAKO.

8. FANYA MAMBO UPENDAYO (KUTAZAMA SOKA, KUOGELEA N.K), PIA FANYA BAADHI YA VITU APENDAVYO KUFANYA YEYE (KUTAZAMA FILAMU, KWENDA KUNUNUA MAHITAJI INAPOTOKEA N.K) ILI FURAHA YENU IKUTANE.

9. MNUNULIE VITU VYENYE MAANA NA ATAKAVYOFURAHIA. SIO LAZIMA IWE IPHONE 6, HATA SHUKA ZURI LITAMFAA PIA.
10. ONANA NAYE MARA KWA MARA KADRI IWEZEKANAVYO.

WASICHANA WAZURI ZAIDI KUTOKA KENYA

$
0
0

Kenya kwa sasa inakuja kwa zaidi kwenye upande wa mswala ya urembo,kutoka kwenye website mbali mbali hawa ndio wanaongoza kwa kuandikwa kuwa ni wazurizaidi na pia wanaotumika zaidi kwenye video nyingi za mastaa kama Video Queen zitizame picha hizi


HAWA NI MUME NA MKE, PADRI PIA ILIMCHANGANYA WAKATI WA KUFUNGISHA NDOA!

$
0
0
Bwana harusi ambaye siku ya harusi yake alivaa gauni kama bibi harusi, kufanana kwao kulizua utata, nani mwanaume na nani mwanamke, ilibidi hata vyeti vya kuzaliwa viletwe ili kumaliza utata huo.
Allina na Ellison siku ya harusi yao
Hii ni kutoka Russia, Allina Davis na Ellison Brux walikuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, makubaliano yao ilikuwa wavae gauni siku ya harusi yao.
Padri alipata kigugumizi siku ya kufungisha ndoa hiyo, ikabidi kiletwe cheti cha kuzaliwa cha mwanaume ili ndoa hiyo ifungwe.

KUTANA NA DONNIE ANAYETIKISA NIGERIA NZIMA KWA UMBO LAKE HUYU HAPA

SALON MPYA ITAKAYOTUMIKA KATIKA KIPINDI CHA MKASI

$
0
0
Hii ndio salon mpya itakayotumika katika msimu mpya wa Mkasi unaotarajia kuanza hivi karibuni, ni saluni ya kisasa sana, na itakibadilisha kipindi hiki kuwa cha kipekee na aina yake.

Ni Ubunifu wa aina yake uliotumika katika kutengeneza  Salon hii ya kisasa ambayo itakuwa special kwa ajili kutengeneza Vipindi vya Mkasi katika msimu mpya Hivi karibuni.
Kuna vipindi kadhaa vimesharekodiwa tayari, Hapo juu ni sholole akiwa nahojiwa katika salon hii mpya.

KATIBU MKUU JIONGOZI ATEMBELEA MABANDA KWENYE MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

$
0
0
1
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo na maafisa wa Shirika la Bima la Taifa alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.

2
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea Wheel cover kutoka kwa Afisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.
3
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni alipotembelea moja ya banda kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Hassan Silayo

HALI YA MWIMBAJI BANZA STONE SIO NZURI, APELEKWA HOSPITALI

$
0
0
unnamed II
Hali ya kiafya ya Staa na mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanjaaka Banza Stone sio nzuri, anaumwa kwa muda mrefu na wapo ambapo waliofikia hatua hata ya kumzushia mitandaoni kwamba amefariki.

Team ya millardayo.com ilifika nyumbani anapoishi, Sinza Dar es Salaam na kumkuta pamoja na ndugu zake, alikuwa anaumwa lakini aliongea pia kinachomsumbua.
unnamed III
Nimeambiwa kwamba kwa sasa hali yake sio nzuri, imebidi ndugu wampeleke Hospitali Mwananyamala ili akapate matibabu zaidi.. nina picha pia akiwa Hospitali, na wapo waliojitokeza kwenda kumjulia hali.

unnamed

BREAKING NEWS : AMUUA MWENZIE KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAMKE

$
0
0
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Chacha Mwita (24) amekufa baada ya kuchomwa kisu na mwenzake wakigombea mwanamke.
Imeelezwa kuwa siku ya tukio marehemu akiwa

kwenye baa moja mjini Sirari, nyakati za jioni kulitokea ugomvi kati yake na mtu mwingine ambaye hakufahamika jina wakigombania mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Dina.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>