Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

LE MAJANGAZ AKUTWA AKIMUUZA BINADAMU MWENZAKE


HUU SI USHABIKI BALI UMBURULAA,JIOONEE

BANZA TUMWACHIE MUNGU!

$
0
0
Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa.
Ugua pole! Hali ya mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ni ya kumwachia Mungu kwani bado ni tete na watu wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kumuona katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa.
Ijumaa Wikienda lilitia maguu kwenye hospitali hiyo na kufanikiwa kumuona Banza ambaye kwa wakati huo alikuwa amezungukwa na watu mbalimbali, wakiwemo wanamuziki wenzake wa dansi wengi wakiwa ni wale wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’.
Kila aliyekuwa akimuona mwanamuziki huyo aliyekuwa akibamba vilivyo kila alipopanda jukwaani, alikuwa akihuzunika huku wasanii wenzake wakiangua vilio kutokana na kutoamini alivyo Banza kwa sasa.
Akipewa kikombe cha uji.
“Yaani inahuzunisha kwani huyu siyo yule Banza tuliyemzoea, hali yake hii ni ya kumwachia Mungu tu kwani ndiye anayejua kila tatizo linalomtokea binadamu litaondokaje, kikubwa ni kuendelea kumuombea tu maana hatua aliyopo siyo nzuri, ni Mungu tu aweke mkono wake,” alisema mmoja wa wanamuziki ambaye hakutaka jina liandikwe gazetini.
Naye kaka wa Banza, Hamis Masanja alisema waliamua kumpeleka hospitali kutokana na hali yake kuwa mbaya ambapo Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka akiwa na viongozi wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) walifika nyumbani kwa ajili ya kumjulia hali ndipo wakaafikiana kumpeleka hospitali.
Kwa muda mrefu Banza amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa fangasi za kichwani hali iliyomsababishia matatizo ya kutosikia na kutoona vizuri huku akishindwa kabisa kunyanyuka kitandani.

Banza akiwa na afya yake jukwaani.
KUTOKA KWA MHARIRI
Ijumaa Wikienda linaungana na Watanzania kumuombea Banza Mungu amponye kwa neno lake kutoka kwenye Kitabu cha Yeremia 30:17 linalosema: “Kwa maana nitakurudishia afya nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisema ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.”

JIDE ALA BATA CHINA!

$
0
0

Staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’.
GOOD time! Ndivyo unavyoweza kusema ambapo wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada, staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ yupo bize jijini Hong Kong, China akila bata, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Kampuni ya Udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers ilipewa jukumu la kupiga mnada nyumba ya mwanamuziki huyo iliyopo Mivumoni, Kinondoni jijini Dar baada ya Jide kushindwa kulipa deni alilokopa kutoka taasisi ya fedha ya EFC Tanzania Limited.


Wanahabari wetu waliokuwa na kibarua cha kumtafuta Jide ili kujua anazungumziaje kuhusu nyumba hiyo kupigwa mnada, walizunguka kwenye viunga lukuki vya Dar ambavyo mwanamuziki huyo huwa anapatikana lakini jitihada hazikuzaa matunda, achilia mbali simu yake ya mkononi kutopatikana.
Wakati gazeti hili likielekea mitamboni, chanzo kimoja kilipenyeza habari kuwa staa huyo wa Wimbo wa Yahaya yupo nchini China ‘anakula ujana’.“Kwa taarifa yenu Jide hayupo Bongo, ametimka zake China kula raha kama vipi fuatilieni kwa mbinu zenu mtabaini hiki ninachowaeleza,” kilinyetisha chanzo chetu, Jumamosi iliyopita.
Kabla ya kuwadadisi wadau wengine wa karibu wa Jide, Ijumaa Wikienda liliingia kwenye ‘peji’ ya Instagram ya mwanamuziki huyo na kukutana na posti iliyoonesha kuwa yupo Dubai akielekea nchini China kuinjoi maisha.
“Dubai-Hong Kong leo nimetoa ushamba sikujua mpaka ndege ikipaa kuna WiFi (huduma ya intaneti) tembea ujionee,” aliandika Jide.
Alipotafutwa Gardner G. Habash ambaye alikuwa mume wa Jide alisema kwa kifupi kuwa hana taarifa zozote kuhusiana na nyumba hiyo kupigwa mnada.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO MONDAY /JUMATATU 06/07 /2015 LIVE!!

$
0
0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
..
.
.
.
DSC00306
.

.
.
.
.
.
.
.
.
DSC00307
.
DSC00308
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Vid

BREAKING NEWZZ: MBUNGE WA CHADEMA AJIVUA UANACHAMA: SOMA HAPA

$
0
0
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa jimbo hilo litakuwa wazi wakati wowote wiki ijayo.
“Kama Chadema wana ubavu, waje walikomboe jimbo hili. Mimi ninaifahamu Chadema kuliko mtu yeyote mkoani Katavi kwani nilikuwa Makamu Mwenyekiti (Bara), na sasa nitamuunga mkono yeyote anayefaa kuwa mrithi wangu,” alisema Arfi na kushangiliwa.
Mkutano huo uliohudhuriwa na umati mkubwa, ulikuwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kutokana na kuzagaa kwa taarifa za kutaka kufanyiwa fujo kwa Mbunge huyo na watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema.

Arfi alisema hatogombea tena Mpanda Mjini; “Lakini nipo tayari kuvaa shati la kijani au la zambarau kumpigia debe mgombea yeyote katika jimbo hili. Ninawajua Chadema na kama wakiendelea kunifuatafuata, nitasema yote.”

Kauli hiyo ilitafsiriwa kuwa Arfi sasa atafanya kampeni akiwa CCM au ACT Wazalendo dhidi ya Chadema katika Jimbo la Mpanda Mjini, ambalo kabla yake halikuwahi kutawala na Mbunge mmoja kwa miaka 10 mfululizo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Arfi kuweka hadharani mustakabali wake kisiasa, lakini kauli yake ya kuwa tayari kuvaa shati la kijana inakwenda tofauti na fununu zilizozagaa mjini hapa kuwa huenda akajiunga na ACT Wazalendo, chama kinachoongozwa na swahiba wake, Zitto Kabwe.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya Chadema kutangaza kumvua nyadhifa zote Zitto takriban miaka miwili iliyopita, mara moja Arfi alitangaza kuajiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

MAYWEATHER "MONEY" APOKONYWA MKANDA WA UBINGWA WA DUNIA

$
0
0
Bondia machachari Floyd "Money" Mayweather Jr alitunukiwa mkanda wa (WBO) wa ubingwa wa dunia katika mchezo wa masumbwi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Kifilipino, Manny "Pac-Man" Pacquiao mnamo Mei 2, baada ya kumshinda kwa ushindi wa pointi.

Lakini imetangazwa ijumaa ya juzi kuwa bondia huyo mwenye umri wa miaka 38, atapokonywa mkanda huo kwa kushindwa kutimiza taratibu za umiliki wa mkanda huo.
Ripoti zinasema kuwa Mayweather amekataa kulipa kiasi cha dola laki mbili za kimarekani sawa na zaidi ya milioni 400 za kiTanzania, pili anamili mikanda miwili ya uzito wa kati yaani WBA na WBC ambapo ni kinyume na utaratibu wa umiliki wa mkanda huo wa uzito wa juu wa dunia.Na imeonekana Mayweather hana cha kujitetea kwakuwa amevunja masharti na vigezo vya mkanda wa WBO na hivyo atapatiwa bondia mwingine

JANA PALIKUA HAPATOSHI PALE ALIKIBA NA DIAMOND WALIPOKUTANA KWA MARA YA KWANZA AIRPORT


DIAMOND PLATINUMS AFICHUA SIRI KUHUSU AY

$
0
0

Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa bongofleva ‘long time’ AY.
Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa.
Hivi ndivyo alivyoandika: Misingi na daraja imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea

ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa... Pengine watu hawajui kuwa wewe ndio uliyeniwezesha kufanikisha collabo langu na Davido, kuniunga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio mwanzo wa safari yangu ya kimataifa... nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania.

MEYA JERRY SLAA ATEKELEZA AHADI ZAKE, ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA!

$
0
0


Diwani wa kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akihutubia wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Mmoja wa wawakilishi wa kikundi cha akina mama akipokea fedha kwa niaba ya wenzake kutoka kwa Meya wa Manispaa ya Ilala ambazo alikuwa amewaahidi wakati wa mkutano wa Meya huyo kuelezea mafanikio yake.
Baadhi ya Madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Mkutano huo.
Watoto wakitoa burudani wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya Madiwani na wazee wa Ukonga wakimpongeza Meya, Jerry Slaa kwa kutimiza ahadi alizotoa muda mfupi baada ya kueleza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wake ambapo vilevile alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga.
Sehemu ya umati waliohudhuria mkutano huo wakishangilia kwa furaha baada ya kuguswa na hotuba ya Meya, Jerry Slaa.
Meya, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo.Diwani wa kata ya Gongo la Mboto,Jerry Slaa ameainisha mafanikio aliyotekeleza katika kipindi cha miaka mitano tangu achaguliwe kuwa Diwani na Meya wa Manispaa ya Ilala ambapo pia alitimiza ahadi mbalimbali alizokuwa ametoa kwa wakazi wa kata za manispaa ya Ilala.


Slaa alivipatia msaada wa fedha vikundi vya VICOBA alivyokuwa ameviahidi kuvisaidia, jeenereta za kutoa nishati za kuendeshea miradi kwa vikundi kwenye maeneo yasio na umeme, vifaa vya michezo kwa vijana na hati za uthibitisho wa ujenzi wa barabara zitakazojengwa kwa madiwani wa kata za jimbo la Ukonga.


Slaa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi alitangaza mafanikio hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi ya Kitunda iliyopo jimbo la Ukonga jana ambapo pia alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.


Baadhi ya mafanikio aliyofanikisha katika kipindi cha uongozi wake aliyabainisha kuwa ni katika sekta ya elimu- ambapo mazingira katika shule mbalimbali yameboreshwa, afya-ambapo vituo vipya vimejengwa na vingine kupatiwa vifaa na dawa,miradi ya maji na ujezi wa barabara kwenye kata ya Gongo la Mboto na kata zote za Manispaa ya Ilala.


“Kutokana na mafanikio yaliyopatikana nawaomba wananchi wa jimbo la Ukonga mniunge mkono kwa kinichagua niwe Mbunge wenu katika uchaguzi mkuu ujao ili nizidi kuwatumikia na kushirikiana nanyi kuleta maendeleo katika jimbo hili la Ukonga ambalo bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali za maendeleo ”Alisema. 
Alisema wakazi za jimbo la Ukonga wanahitaji Mbunge ambaye atakuwa bega kwa bega na wananchi katika harakati za kuwaletea maendeleo wananchi. “Bado tunahitaji kuboresha zaidi huduma za kijamii kama vile shule, hospitali, maji safi,kubuni miradi ya maendeleo ya akina mama na vijana kwa kuwa naelewa matatizo ya jimbo hili na baadhi yake nilishaanza kuyavalia njuga nikiwa diwani, mkinichagua kuwa mbunge wenu nitaendeleza safari ya kuleta maendeleo.”


Mkutano huo wa Meya, Jerry Slaa ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wengi wa jimbo la Ukonga ambao wengi wao walipokea tamko hilo la kutangaza nia kwa furaha na baadhi ya waliohojiwa walisema kuwa kiongozi huyo anaelewa matatizo ya wananchi wa Ukonga na ni mtu wa watu ambaye amekuwa akitekeleza majukumu yake ya kazi kwa kujali watu wa aina zote

ALI KIBA AAMUA KULA SAHANI MOJA NA DIAMOND PLATINUMS KWENYE MAVAZI

$
0
0

ali kiba with Kenyan designer and longtime ago this photo taken diamond platnumz he is closer with Ngowi Tanzanian fashion designer!!


 



SENTENSI TATA ILIYO ONGELEWA NA SPIKA BUNGE LA KUMI.

$
0
0
Nukuu mh Anna Makinda''Bangi ya Njombe ina nicotine ndo(kilevi kidogo.kwa sababau ya  baridi''.

TUNDU LISU AMWITA SPIKA WA BUNGE BIBI.

$
0
0
Mbunge machachali wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kufukuzwa bungeni vikao vyote vilivyobakia,Amemwita spika wa bunge bibi mwenye maamuzi yasiyo na tija,mswaada wa mafuta na petroli umepitishwa kwa shinikizo la manufaa yake na viongozi wakuu wa nchi.Kauli hiyo ameitoa wakati wa mkutano na waandishi wa habari Ukawa wakitoa kauli ya kususia vikao vyote vilivyobakia.

MH EDWARD LOWASA AMPA UJIKO MKE WAKE.

$
0
0
Mgombea pedwa wa urais Edward Ngoyai Lowasa amemsifia mke Regina Lowasa wake kama mtu pekee aliye karibu muda wote kumsaidia shughuli zake  za kisiasa bila kuchoka.''Amekuwa mtu pekee mwenye kunitia moyo na kunishauri mengi juu ya siasa''.Baada ya waziri mkuu huyo kujiuzuru mke wake aliandika kitabu kumsafisha mgombea huyo juu ya masakata ya upotevu wa fedha za umma.



LE SUPER MUTINDIZZ WA TAIFA LA KESHO NI BALAA.

$
0
0
Big result now sera ya elimu utekelezaji wake utakuwa wakusuasua kwa aina hii ya wanafunzi.

MAKAVU LIVE! MMEACHANA SAWA ILA HAKUNA SABABU YA KUCHUKIANA! ACHA USHAMBA! STYLE 6 MPYA KALI ZA KITANDANI!

$
0
0
Ni kweli kuachwa kunaumiza sana moyo. Kimsingi usiombe kukumbwa na maumivu ya kuachwa. Lakini kama hilo limekwishatokea, kwa nini uendelee kuumia na kumchukia aliyekuwa mpenzi wako?
Mpenzi msomaji wa XXLove karibu kwenye Jumatatu nyingine mwanana katika ulimwengu wa uhusiano wa kimapenzi.Katika mada yetu tajwa hapo juu, nitazungumza na wale rakifi zangu walioachana au kuachwa na kuanza kumchukia mwenza wake.
Kitendo cha kukuacha wewe, kinaweza kumtokea hata yeye na kujikuta akilia na kuhuzunika kama wewe. Kama ndivyo basi mapenzi ndivyo yalivyo. Leo kwako, kesho kwake.

Hakuna sababu ya kuchukiana na kuwekeana visasi kwa sababu kama tutafanya hivyo, kwa dunia ya sasa iliyojaa uchepukaji, itakuwa dunia ya visasi kila kukicha.

Ifahamike kwamba, mapenzi hayana fomula, inawezekana mwenza wako akawa amerubuniwa na kuna siku atarejea kwako na kutulia kama unavyotaka.

Siwatetei wenye tabia ya kuacha, wala siyo tabia nzuri kubadilisha wapenzi, lakini pengine ni ujana ndiyo unamsumbua au ni tabia asili ya mwenza wako, tabia ambayo haipaswi kuigwa na ni hatari kiimani, kimaadili na hata kiafya.

Ninavyofahamu mapenzi ni kitu cha ajabu sana, inawezekana mkawa mmeachana kwa muda kwa maana ya kupumzishana au kuna mtu kaingilia kati penzi lenu au mmeachana moja kwa moja.

Haijalishi ni aina ipi ya kuachana ila ninachozungumzia ni kuachana au kuachwa na kujenga chuki, hakuna sababu kwa namna mapenzi yalivyo kwa sababu utachukia wangapi? Hivi kwa mfano, ukiachwa au kuachana na wapenzi watano na wote ukawachukia, si utakuwa umetengeneza bomu la hatari katika maisha yako? Kwa sababu utakuwa ukiwaona moyo wako unaumia na kuwaza mabaya juu yao.

Kama mlikuwa mnajua mtakuja kugombana, hamkuwa na sababu ya kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na kama mlilazimishana, kupendana hakuna sababu ya kuchukiana. Naamini hamkujua kama mtakuja kugombana ndiyo maana mliamua kupendana na ‘kushea’ baadhi ya vitu vyenu.

Sidhani kama mliamua kuwa wapenzi ili mje kupeana stress (msongo), mgombane, mchukiane, muharibiane maisha na mambo mengine.

Kama umeachwa kwa sababu za msingi, kubaliana na ukweli ili maisha yasonge kuliko kuendelea kufikiria na kutengeneza chuki na uhasama na mtu aliyekuacha au kuachana, haisaidii kitu, kama wewe unavyohisi kutendwa na yeye huko alikokwenda anaweza kutendwa vilevile. Mapenzi ni mchezo usiokuwa na bingwa.

Angalizo; kwa wale wenye tabia ya kuacha hovyo, haipendezi kwani kuna mambo mengi ambayo unaweza kuyatengeneza bila kujua.

Wanawake huamini kwamba unapomuacha, huwa umemchezea kwa maana ya kutimiza haja zako na unapopata mtu mwingine ‘unamshiti’ bila kujua kuwa uhusiano wa mapenzi ni kama kitabu ambacho kinapaswa kifunuliwe kurasa zake. Inawezekana anayekifunua, akafunua kurasa moja na kukutana na andiko alilokusudia au kufunua kurasa zaidi na zaidi.Tukutane wiki ijayo katika mada nyingine tamu na nzuri.

MATUMIZI YA DOLA YAZUA BALAA NCHINI TANZANIA.

$
0
0
Matumizi ya fedha za kigeni hasa dola yanaliletea majanga uchumi wa nchi ya Tanzania kwa kushusha thamani ya fedha yetu.Nyumba za kupanga zimekuwa zikilipiwa kwa dola,manunuzi ya bidhaa mbalimbali ndani na nje ya nchi.Fedha ya madafu ni neno maarufu midomoni mwawatanzania wasio na uzalendo na fedha ya taifa lao.

AFYA YA MWANAMUZIKI BANZA STONE YAANZA KUKAA SAWA.

$
0
0
Mwimbaji wa muziki wa band Banza Stone aliyelazwa hospitali ya mwananyamala jiji Dar es Salaam yaanza kuimarika.Ugonjwa wa fangasi kichwani unaomsababisha kutosikia vizuri umekuwa ukitetelesha afya yake.Baada ya siku kadhaa za matibabu amekuwa na uwezo wa kula na kuongea na watu wanaomtembelea.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA CRDB BANK

$
0
0
CRDB Bank PLC is urgently looking for suitable person to fill a vacant position of Bank Officer Trainee
The ideal candidate will be candidate with Bachelors degree in business or
related discipline from any recognized University. 

KIKONGWE ZAIDI KULIKO WOTE AFARIKI DUNIA NA KUPATA MRITHI WA REKODI HIYO.

$
0
0


Sakari Momoi mzee zaidi duniani kwenye rekodi za Guiness world record book amefariki jana akiwa na umri wa miaka 117 nchini Japan,Chanzo cha kifo chake kimesababishwa na ugonjwa wa ini kufeli.

Ms Joness mwenye miaka 116 nchini marekani ni mrithi pekee wa record hiyo,Anayedai siri ya kufika umri mkubwa zaidi ni kulala sana.


Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>