1. (SAA NNE ASUBUHI - SAA SABA MCHANA LEO);- KIKAO CHA KAMATI YA USALAMA NA MAADILI CHA CCM TAIFA:- Chini ya Mwenyekiti wake Rais JK kinaendelea sasa hivi kuyapitia majina yote ya Wagombea, kimeanza Saa Nne Asubuhi na kitaisha Saa SABA leo mchana.
2. (SAA NANE MCHANA - SAA KUMI NA MBILI JIONI LEO):- KAMATI KUU YA CCM TAIFA:- Chini ya Mwenyekiti wake Rais JK itakutana kupunguza majina na kubakiza 5 tu ambayo LEO LEO USIKU YATAPELEKWA NEC YAANI HALAMSHAURI KUU YA CCM TAIFA ILI KUPUNGUZWA YABAKI 3 TU.
3. (SAA MBILI USIKU LEO HII) - HALMASHAURI KUU YA CCM NEC itakutana kubakiza majina 3 tu yatakayokwenda MKUTANO MKUU WA CCM KESHO ASUBUHI ILI KUBAKIZWA JINA MOJA TU LA MGOMBEA URAIS WA CCM.
- So ni mpaka kesho ndio tutakuwa na Mgombea urais wa CCM, ambaye kama inavyokubalika ndiye mwenye nafasi kubwa sana ya kuwa Rais ajaye wa Tanzania. Kwa habari zaidi za kinachoendelea Dodoma stay tuned here!! - Le Mutuz Nation