Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

BREAKING NEWS: CCM YATANGAZA WAGOMBEA WATANO WA URAIS

$
0
0
Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na
kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi   

BONYEZA HAPA KUONA VIDEO NCHIMBI AKIFUNGUKA KUHUSU KUTOKUBALIANA NA KAMATI KUU

KIKAO CHA KAMATI KUU CHASHINDWA KUFIKIA MUAFAKA WA KUPATA 5 BORA NA 3 BORA, MHE. NCHIMBI, ADAMU KIMBISA NA SOPHIA SIMBA

EDWARD LOWASSA AKWATWA

$
0
0
“Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.Muda mfupi baada ya kikao hicho, pamoja na kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alikataa kutaja majina yaliyopitishwa, akaunti ya Twitter ya CCM, iliwataja
waliopitishwa kuwa ni Bernard Membe, Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro, January Makamba na Amina Salum Ali na kuwatupa wengine 33 akiwamo Lowassa.“Kikao cha Kamati Kuu kimeisha salama. Kesho (leo) Halmashauri Kuu itakutana kuanzia saa 4:00 asubuhi,” alisema Nape baada ya kikao hicho.Alipotakiwa kutaja majina ya makada watano waliopitishwa, Nape alisema: “Nimeambiwa mchakato bado unaendelea na kesho (leo) Halmashauri Kuu itakutana kuendelea na kazi. Kwa hiyo nawakaribisha kesho kuanzia saa 4:00 asubuhi mje mchukue picha, habari, karibu sana.” Mkutano Mkuu utafanyika saa nane mchana leo.” 

BONYEZA KUSOMA YOTE

KIMENUKA! LOWASSA ALETA MPASUKO CCM, NI BAADA YA KUKATWA JINA KWENYE TANO BORA!

$
0
0
Habari za kutoka makao makuu ya CCM mkoani Dodoma ni kwamba wajumbe wa kamati kuu watatu ambao ni Dkt. Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa wamepinga maamuzi ya kamati ya kumkata mmoja wa wagombea maarufu na kumweka mgombea asiyekuwa maarufu. 
Akizungumza usiku huu majira ya saa saba za usiku Dkt. Nchimbi  amesema kwamba wao watatu hawajakubaliana na maamuzi ya kamati kuu iliyoketi usiku huu chini ya Mwenyekiti Dkt Jakaya Kikwete kumkata mgombea maarufu kwa manufaa ya mgombea asiye maarufu.  

BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE

PROF MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI BAADA YA KUKOSA KUINGIA 5 BORA

$
0
0
Katika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu. Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwadhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya kutangaza nia, wakati wa na baada ya kuchukua fomu za kuomba nafasi hiyo, kwa imani kwamba tunakidhi, na pengine tunazidi vigezo vilivyoorodheshwa.  

RAIS KIKWETE ATHIBITISHA MAJINA 5 YA WAGOMBEA URAIS CCM

$
0
0
Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
“Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @jmkikwete 

THE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY /JUMAMOSI 11 /07/2015 LIVE!!

MPASUKO WA MAKADA NDANI YA CCM.

$
0
0


Mpasuko CCM,Kamati kuu imemaliza kazi yake muda huu,Nape amesema hawawezi kutangaza majina matano yaliyopita,huku Dr Emmanuel Nchimbi,Adam Kimbisa na Sofia Simba,wakisema hawakubaliani na maamuzi ya kamati kuu,inadaiwa yamepitishwa majina matano tu kati ya 38 ambayo yamewaacha wana CCM wenye nguvu na wanaoonekana kukubalika,nape anasema majina hayo yatatajwa na yatajadiliwa kesho,Nchimbi anasema wagombea wanaokubalika sana wamekatwa.

MKE WA JANUARY MAKAMBA ALIA MACHOZI.

$
0
0
               IMANI YA JANUARY YA MPONYA.
January Makamba juzi usiku aliongea kwa imani kubwa na kujiamini akiamini viongozi wa chama chake watafata taratibu na sheria.Amewashukuru wote wenye mapenzi naye toka mchakato unaanza hadi leo utakapofikia kikomo.

POZI LA SURA YA MGOMBEA MMOJA PEKEE YA ENEA KWENYE PICHA.

$
0
0
Kama umekuwa mfatiliaji wa picha za waheshimiwa marais kwenye ofisi za serikali na makumpuni ukutani,Utaona pozi la sura la muheshimiwa Bernard Membe limeenea na kujaa vilivyo na mvuto wa hali ya juu kuliko wagombea wote.Rais ni nembo ya taifa analoliwakilisha U Know mwafaa.

LE MBEBEZ AHANGUA KILIO CLUB YA USIKU BAADA YA MGOMBEA KUKATWA.

$
0
0
                                                            POMBE YOTE KWISHA.

MSANII WA HIPHOP NCHINI AWAPIGA BITI ZITO KAMPUNI YA KUSAMBASA MZIKI KENYA.

$
0
0

NIKKI MBISHI BAADA YA KUONGOZA NYIMBO ZAKE KUSIKILIZWA ZAIDI KWENYE KAMPUNI YA MDUNDO KENYA NA KUZINGULIWA MALIPO.


ZOEZI LA ''AMEKATWA'' LAHAMIA BONGO STAR SEARCH ARUSHA.

$
0
0
Majaji wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba limeamia mjini Arusha ambapo mchujo na ukataji majina la endelea kwa kasi ili kupata washiriki wachache kuelekea jijini Dar es Salaam.

BREAKING NEWZZZ....HUYU JAMAA AKAMATWA NA MABILIONI YA PESA KWENYE BEGI MJINI DODOMA MDA HUU

$
0
0
 
Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa
gombea uteuzi..nani kamtuma??? 

BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAKE ZAIDI

KAULI YA KWANZA YA WEMA SEPETU KUHUSU MATOKEO YA KAMATI KUU YA CCM


BREAKING NEWZZZ....TOKA KAMBI YA LOWASA.

$
0
0

Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia chama hicho.

wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii

HOFU YA UKATAJI MAJINA TATU BORA, JESHI LATUMIKA KULINDA USALAMA.

$
0
0
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika jengo la White House wakati kikao cha NEC - CCM kilipokua kikiendelea leo Dodoma.

MATOKEO YA TATU BORA WAGOMBEA WA URAIS.

$
0
0
Matokeo ya kura 3 bora Urais CCM Magufuli kura 290,Amina kura 284,Migiro kura 280

Makamba kura 124,
Membe kura 120.

UKAWA WAENDELEA KUPANDA MIPANDO INAYOPANGIKA,MGOMBEA TAYARI KUTAJWA TAREHE 14.07.2015

$
0
0
WAKIWA KATIKA KIKAO CHA KUMTEUA MWAKILISHI KUGOMBEA URAIS UKAWA..

MANENO YA UCHUNGU TOKA KWA JANUARY MAKAMBA.

$
0
0
Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha

Matokeo rasmi ya wana-CCM watatu watakaondelea na mchakato yatatolewa punde. Hatumo. Lakini nina fahari kubwa na kampeni yetu na timu yetu.

Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>