Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

KOSA KUBWA ALILOFANYA LOWASSA MPAKA JINA LAKE KUKATWA 5 BORA

$
0
0
Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu wa Nje na mashabiki wake kiasi chakupendwa kila kona na kusahau kuwa Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje kila anapopita.  



NEW VIDEO: DIGNA FT MAROMBOSO – KIDODOSA (OFFICIAL MUSIC VIDEO

HIVI NDIVYO MADAKTARI WANAVYOPIGANIA MAISHA YETU BAADA YA AJALI

HATARI KUBWA KUFUNIKA WINGU LA TANZANIA.

$
0
0
Hii ni hatari sana,kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo(14.7.2015),Ukurasa wa 35,inasema kasi ya vijana kuambukizwa virusi vya Ukimwi ni kubwa,kati ya mwaka 2011 na 2012 vijana wenye umri kati ya miaka 15 mpaka 24 kwa mkoa wa Dar es Salaam,vijana 40,000 walipimwa na kukutwa wameambukizwa virusi vya Ukimwi,huku mikoa ya Shinyanga,Kagera na Mbeya wakikutwa vijana 10,000,kuna hatari kubwa sana,Dar es Salaam pekee inapokuwa na vijana 40,000 wanaambukizwa ukimwi kwa mwaka,lazima taifa licukue hatua kuwanusuru vijana wetu!kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi linasema vijana wetu hawa wanaambukizwa virus hivi na watu wazima wenye pesa zao,huku wakitumia pesa zao kuwamaliza vijana wadogo.

RAIS ATIMUA VIONGOZI WA JESHI NAKUPANGA UPYA.

$
0
0
Rais Buhari wa Nigeria juzi alitimua viongozi wa jeshi sababu ikiwa nikushindwa kusimamia usalama wa wananchi kwakushindwa kupambana na kikukundi cha kiislam cha kigaidi Boko Haram.Hii ndio list mpya ya viongozi wa jeshi.

MSANI WA NIGERIA ANAYE ONGOZA KWA LE SUPER MUTINDIZ.

$
0
0
COSSY ORIJAKOR.MCHEZA FILAMU NA MWIMBAJI NIGERIA.



BREAKING NEWS : KAULI NYINGINE YA NCHIMBI ALIYO IANDIKA KUHUSU USALAMA WAKE BAADA YA KUPINGANA NA KAMATI YA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS NDANI YA CCM

HII MITINDO IMEKUWA TOO MUCH


DIAMOND ATANGAZA NIA ILI KUJUA NI JIMBO GANI HEMBU FWATILIA HAPA

$
0
0
 
Ikiwa Mchakamchaka wa Kuelekea Uchaguzi Mkuu mweni October Mwaka Huu Ambapo utafanyika kuchagua Rais wabunge na Madiwani.Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na Presha Kubwa Hususan Wasanii wa Tanzania wengi wao
wameamua kujikita vilivyo katika uchaguzi huo.Msanii wa Bongo Diamond Platinums Naye hakuwa nyuma na hapa aweka mikakati ya Jimbo lake kuelekea mjengoni 


 

THE MAGAZETI YA BONGO LEO TUESDAY /JUMANNE14/07/2015 LIVE!!

$
0
0
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.

.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.

EDWARD LOWASSA BAADA YA LUKATWA HAYA NDIO YANAYOMSUMBUA MPAKA KUKOSA RAHA

$
0
0
Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda ukipita
atasahaulika na yale aliyopanga kuyatekeleza hayatatimia. Wapo waliomshauri kwamba aende kwao Monduli akatulie japo kwa wimbi mbili na asiruhusu watu wamtembelee ili mawazo yake yapungue. Wapo pia wanaomshauri kuwa aende kwenye vyombo vya habari na kueleza kwa nini amekatwa. Wanaomshauri hivyo wanaona kuwa hiyo ndo njia sahihi kwani kukaa kwake kimya kunaacha sintofahamu kwa wapenzi wake. 


MTOTO WA MTANGAZAJI GADNER G ABASHI "CAPTAINIII" HAKIKA NI BINTI MREMBO

LE KIBONZO CHA LEO

IGP, MKUU WA MKOA WATEMBELEA KITUO CHA POLISI KILICHOVAMIWA CHA STAKISHARI-UKONGA, DAR

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Mecky Sadick akiongea na wanahabari.
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu (katikati) akiongea na wanahabari baada ya kutembelea kituo hicho.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Damu zikiwa zimetapakaa eneo la tukio.
Muonekano wa Kituo cha Stakishari leo mchana, Ukonga jijini Dar.
Askari akiwa katika majukumu yake.
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu alipokuwa akiingia katika kituo hicho.
Gari la mmoja wa marehemu likiwa eneo la tukio.
Moja ya pikipiki ya majambazi hao ikiwa katika kituo hicho.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick wametembelea Kituo cha Polisi cha Stakishari kilichopo eneo la Ukonga jijini Dar kilichovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa magaidi na kuua askari wanne jana usiku.
Akiongea na wanahabari kutoka eneo la tukio, IGP Mangu amewataka wananchi kuwa watulivu na kutoa ushiriakiano ili kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo la kigaidi ambalo limepoteza maisha ya watu.
Katika tukio hilo askari wanne waliuawa, raia wawili na gaidi mmoja anayedaiwa kuuawa na wenzake.
(PICHA: MAKONGORO OGING’/GPL)

VIONGOZI WA DINI WACHARUKA .WAMTAKA RAIS KIKWETE AFANYE MABADILIKO YA JESHI LA POLISI

$
0
0
VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini wameandaa maandamano kwa lengo la kumuona Rais jakaya kikwete ili kumuomba alifanyie mabadiliko makubwa Jeshi Polisi.
Mabadiliko hayo ni pamoja na kubadili mawaziri wote wa mambo ya ndani, mkuu wa jeshi hilo (IGP) na MA-CP wawili ambao wametajwa kuendesha jeshi hilo kimtandao kinyume na taratibu za kijeshi.
Maandamano hayo yamefikiwa na Maaskofu na Mashekhe 160 wa mjini
Dodoma jana chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, amani na haki za binadamu ya Madhehebu ya Dini Nchini Askofu William Mwamalanga.
Mwamalanga alisema viongozi hao wamepokea taarifa ya kuuwa kwa askari polisi wanne wa kituo cha stakishari cha jijini Dar es Salaam kwa masitikito.


MFAHAMU MTANGAZAJI WA KIKE MWENYE MVUTO ZAIDI AFRIKA MASHARIKI.

$
0
0
             GRACE MSALE MTANGAZAJI NCHINI KENYA.

BAADA YA KULA KIPIGO KIKALI YULE MUHINDI ALIYEDAKWA DODOMA AKIWA NA MINOTI KIBAO AMESEMA UKWELI WENYEE KUWA ILE MINOTI NI YA

$
0
0

There was drama at a hotel in Dodoma after TSh 720 million was found in the room of a middle-aged man.
The mid-morning incident fuelled speculation that CCM nomination candidates were splashing billions of shillings.
The Citizen could not, however, independently verify that the money found at the hotel was in any way related to the ongoing political campaigns, especially the high-stakes process to nominate CCM’s presidential candidate.
The development took place as CCM was holding meetings to pick its flag-bearer.
Rival camps in the party immediately pointed an accusing finger at one another over the huge stash of money found in possession of the Indian national. READ MORE ====>>

LINAH SANGA YUPO PANDE ZA KWA MADIBA UNAJUA ANACHOFANYA NI BATA LAKUTOSHA NA ALIYE NAYE SASA NDO ANAZIDISHA ZAIDI MASWALI WE TAZAMA MWENYEWE HUMU

WATU NA MIGONGO YAO BWANA DUUH HUYU NDIO GIGY PESA YEYE KASEMA HAKATWI BALI ANAKATA TU UNAJUA NINI....

WADAKUZI WAVUJISHA PICHA TATA DIAMOND ALIPOKUWA AKITENGENEZA VIDEO NA KCEE MMMH ALIPAGAWA NA VIMWANA WA LAGOS

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live