↧
ALI KIBA ASHUSHA UJUMBE MZITO KWA JOKETI KIDOTI
↧
INTERVIEW YA DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA MAZITO
↧
↧
SHILOLE AFUNGUKA ETI NUHU MZIWANDA SI DEREVA MZURI WA NYUMA

kauli tata aliyeitoa msanii shilole kupitia account yakeya instagrammNa dereva wangu ila akirudi nyuma mpaka agonge ndio anaenda mbele'
↧
MKE AMFANYIA TENDO LA AIBU MUMEWE.
↧
BEST COUPLE IN TOWN HIVI SASA.
↧
↧
AIBU TUPU! KIM AREKODI TENA VIDEO CHAFU! YAVUJA MITANDAONI!

Los Angeles , Marekani
MTANGAZAJI maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amezidi kuchafuka baada ya video yake nyingine aliyorekodi akifanya ngono kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

Hiyo inakuwa video ya pili kwa mwanadada huyo ikimuonesha akifanya ngono baada ya ile ya awali ambayo alijirekodi akiwa na ‘Ex-boyfriend’ wake Ray J.
↧
DIAMOND, DAVIDO WAWAUMBUA WANAFIKI, SHUHUDIA ILIVYOKUA HAPA...
Imekuwa story ambayo kiukweli kwa mtu anayefuatilia muziki haitaji hata kusimuliwa kilichokuwa kinaendelea kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya Davido na Diamond Platnumz ambao ilidaiwa kwamba wameingia kwenye beef au kutoelewana.
Ukaribu wa mastaa hao wawili ulizaliwa baada ya collabo ya My Number One Remix, baadae mambo yakageuka, kukawa na kama uhusiano mbaya na kila kitu kilikuwa kikibebwa na story za mitandaoni hasa Facebook na Instagram, mashabiki kwa upande mwingine huenda ndio waliohusika pia kuifanya ishu kuwa kubwa zaidi.
Davido aliwahi kupost picha ya Bendera ya TZ alafu akaweka alama ya love.. leo Meneja wa Diamond Platnumz, Hamis Taletale aka Babu Tale amepost picha inayowaonesha wakiwa pamoja, Diamond, Davido, na Mameneja wa Daimond, Salam na Babu Tale mwenyewe.
Pia Davido alipost picha akiwa na mastaa wengine pamoja na Diamond Platnumz kama inavyoonekana hapa chini na kuandika with my ni*** na akamention Diamond kwenye Instagram.
Yemi Alade, Ricardo, Diamond, Davido na Pantoraking
↧
LE MAJANGAZ JIONEE ALICHOPOST MREMBO HUYU LIVE
↧
MCHEKESHAJI MAARUFU, STAN BAKORA ATOA KALI YA MWAKA LEO KWENYE BIRTHDAY YAKE
↧
↧
RAY WA BONGO MOVIE AKANISHA KUJICHUBUA
Ray ameiambia Mpekuzi kuwa anasikitishwa na watu wanaodai kuwa anajichubua bila kujua kuwa mtu akiwa na maisha mazuri anaweza kubadilika.
“Kwanza sijichubui, tatizo unajua baadhi ya watanzania wengi, hawaelewi mimi sijichubui, ila maisha yamebadilika,” amesema.
“Unajua unapokuwa na maisha magumu ya kwanza, unaposhindwa kujikimu, kujinunulia nguo, yaani kufanya unachokitaka kwa muda unaoutaka, unakuwa mweusi kwa sababu huna hela ya kujikimu, sasa unapopata pesa kidogo ya kujikimu, unapokuwa na maisha mazuri , kwako kuna AC, kwenye gari yako kuna AC, hupati jua huwezi kuwa mweusi,” amesisitiza.
“Pia ukishakuwa star lazima muonekano wako uwe tofauti kidogo ili uwe tofauti kidogo. Hawa wanaoona mimi najichubua labla wanaona vibaya! Mimi sijichubui na waache waendelee kuzungumza kwa sababu mtanzania huwezi kumzuia kuzungumza.”
↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAY /IJUMAA 17/7/2015 LIVE!!
↧
NANI KUAGA SHINDANO LA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE WIKI HII?
Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi
Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii.
Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi
Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke kutoka Kushoto Ni Mwl Issa na Dkt Mona Mwakalinga wakifuatilia kazi ya wanafunzi wao katika kipindi cha TMT 2015 #mpakakieleweke
Majaji wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke wakifurahia show ya washiriki wa TMT waliobahatika kuendelea na shindano hilo mara baada ya washiriki wengine kuaga mashindano hayo kutokana na kura kutotosha.
Mahosti wa Kipindi cha TMT 2015 #mpakakieleweke wakifurahia kazi yao wakati wa kipindi cha TMT kinachorushwa kila jumapili saa tatu na nusu usiku kupitia kituo cha ITV
Baadhi ya washiriki wa TMT 2015 #mpakakieleweke wakiwa mbele ya majaji tayari kwa kutaja waliongia hatua ya jua la utosi.
Na Josephat Lukaza.
Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke limeingia hatua nyingine tena mara baada ya washiriki wengine kuaga shindano hilo . Katika hatua hiyo ya mchujo hali imezidi kuwa ngumu kwa washiriki kutokana na shindano kuwa gumu kwao kila wiki. Mpaka sasa jumla ya washiriki wanne wameshaaga shindano hilo huku mchuano ukiwa mkali kwa washiriki waliobakia.
Ili kuweza kumbakiza mshiriki umpendae unachotakiwa kufanya ni Kumpigia kura kadri uwezavyo ili kumnusuru na kuaga shindano ambalo limejizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya Nchi ya Tanzania kutokana na ubora wake na uwajibikaji na ubunifu wa shindano hilo
Jinsi ya kumpigia kura mshiriki umpendae unachotakiwa kufanya ni Kuandika ujumbe mfupi wa Maneno TMT ikifuatiwa na namba ya mshiriki halafu tuma kwenda namba 0784 36 77 38.
Kufahamu ni nani na nani wameaga shindano hili kwa wiki hii basi usikose kufuatilia kipindi cha TMT 2015 #mpakakieleweke kupitia kituo cha runinga cha ITV kila siku ya Jumapili saa tatu na nusu usiku.
Shindano la TMT limepigwa Tafu na I-View Studio, Precision Air, Global Publishers, Paisha, Cam Gas, Radio One na ITV pamoja na Pepsi
↧
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
![]() |
Kada wa Chama cha Mapinduzi,Octavian akimtambulisha mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha kwa wakazi wa Moshi waliofika katika uwanja wa Mashujaa. |
![]() |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi. |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo. |
![]() |
Davis Mosha akizungumza na waandishi wa habari marabaada ya mkutano wake wa kutangaza nia. |
![]() |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Davis Mosha akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara mjini Moshi waliofika katika mkutano huo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
↧
↧
ALIYEMSUKUMA WEMA SEPETU KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA
MADAM Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita.

↧
TABIA MPYA YA ZARI YAZUA TAHARUKI DIAMOND AKIMBILIA KWA DAKTARI KUJUA ENDAPO MTOTO ATAPATA MADHARA

Tabia mpya ya Zari katika kipindi hiki cha mwisho cha ujauzito wake ilizua taharuki kwa familia ya kina Diamond, Zari alianza kupenda kunywa maziwa na mtindi kwa wingi kitu ambacho kilileta hofu kwa familia. hapo ndipo walipoamua kumtafuta daktari ili kujua unywaji maziwa na mtindi kupita kiasi ufanywao na Zari katika kipindi hiki una madhara yoyote? Majibu ya daktari nayo yalileta utata.
↧
WIFI YAKE ZARI ATIMULIWA NYUMBANI KWA DIAMOND
Waandishi wetu
Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima.
Rose ambaye ni ‘msichana wa mujini’ alijikuta akitiliwa ngumu na mlinzi nyumbani kwa Diamond maeneo ya Tegeta-Madale, Dar ambapo alikwenda kumuona Zari baada ya kusikia yupo Bongo.

↧
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUUNGURUMA NDANI YA KIOTA KIPYA CHA LUKAS PUB MASAKI, USIKOSE LEO
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (wa pili kutoka kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Lukas Pub jijini Dar.
Ilikuwa noma sana siku ya Ijumaa iliyopita maana ilikuwa sio ya kupitwa basi mchuke na ndugu, jamaa au rafiki yako leo uje kuona vitu vitamu kutoka kwenye Bendi ya Skylight
Mashabiki wa Bend ya Skylight wakiendelea kuserebuka.
Sony Masamba akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake ndani ya kiota kipya cha Lukas kilichoko Masaki jijini Dar.
Sakata rhumba na Skylight band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unase
Mwimbaji wa Bendi ya Skylight Shuu akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo ( hawapo pichani) uku akisindikizwa na waimbaji wenzake Sony Masamba (kushoto) pamoja na Ashura Kitenge.(kulia)
Katika bend ya Skylight ni full burudani.
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
Ndani ya Skyligt band ni full burudani.
Ilifika time ya Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower (wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
Mashabiki wakiendelea kuserebuka nyimbo za Skylight.
↧
↧
AUNT EZEKEL AWATIBUA WAISLAM, SHEHE AMVAA!
WAANDISHI WETU
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam, Ijumaa lina ishu nzima.
Aunt alifanya tukio hilo hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar kisha kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki ambapo mbali na kuombewa dua na maustadhi, pia aliwafuturisha Waislam waliokuwa kwenye mfungo.
Licha ya kitendo hicho kilichodaiwa kuteketeza milioni kadhaa za fedha kupongezwa na wengi, katika hali ya kushangaza kuna mambo ambayo ilibainika yalikwenda kinyume na taratibu za dini ya Kiislam.
BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE
BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE
↧
WAALIMU WAMCHAMBUA MKE WA MAGUFULI
KUMEKUCHA! Siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho, mkewe, Janeth Pombe amechambuliwa vilivyo na walimu wenzake, Amani lina kila kitu.
Juzi, Amani lilifika Shule ya Msingi Mbuyuni, Oysterbay jijini Dar ambayo Janeth amekuwa akifundisha na kufanikiwa kuzungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo na walimu wengine.
↧
JOYCE KIRIA ATOA KAULI KUHUSU KUKAMATWA KWA BLOGGER MANGE KIMAMBI

↧