Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

KIM AREKODI TENA VIDEO YA NGONO! YAVUJA MITANDAONI!

$
0
0
Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.
Los Angeles , Marekani 
MTANGAZAJI maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amezidi kuchafuka baada ya video yake nyingine aliyorekodi akifanya ngono kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Video hiyo inamuonesha Kim akifanya ngono na mwanaume ambaye hakuweza kufahamika jina lake lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari Marekani vinadai si mumewe, Kanye West.
Hiyo inakuwa video ya pili kwa mwanadada huyo ikimuonesha akifanya ngono baada ya ile ya awali ambayo alijirekodi akiwa na ‘Ex-boyfriend’ wake Ray J.  

BALOZI WA INDIA AAGANA NA RAIS DR. SHEIN

$
0
0
Q1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe,Debnath Shaw alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.]

Q2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa India nchini Tanzania Mhe,Debnath Shaw alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini, [Picha na Ikulu.]
Q3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe,Debnath Shaw baada ya mazungumzo yao leo, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini, [Picha na Ikulu.]

MASKINI BINTI HUYU, ATESEKA NDANI MIAKA 25 JIJINI DAR

$
0
0
Msichana Ramla Mohamed. 
Gladness Mallya 
MSICHANA Ramla Mohamed (31) mkazi wa Tandika, Dar amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufungiwa ndani kwa miaka 25 baada ya kupooza uti wa mgongo na kusumbuliwa na degedege.
Tukio hilo liligundulika hivi karibuni baada ya majirani kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa kwani mama wa msichana huyo, Moza Athuman kwa miaka yote 25 alikuwa akimfungia ndani na kwenda kwenye shughuli zake na hakuwahi kumtoa nje hata siku moja. 

Akiwa na mama yake. 

“Ukweli inauma sana kwani huyo msichana hatujawahi kumuona akitolewa nje hata siku moja, mama yake huwa anamfungia tu ndani kila kitu ni hukohuko, haja kubwa na ndogo ni hukohuko ndani mama yake anatoa nje kwenye chombo chake maalum, sisi tukaona bora tuwaambie watu wa serikali wanaweza kumsaidia. 

“Alianza kuugua akiwa na miaka mitano hivi ila cha kushangaza wajumbe waliofika nyumbani kwa mgonjwa huyo walianguka na kupandisha mapepo,” alisema jirani mmoja ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini. 


Alipoulizwa mama wa msichana huyo sababu za kumfungia mwanaye, alisema kwamba kutokana na mumewe kumtelekezea mtoto huyo hana msaada wowote wa kumtoa nje na kumrudisha ndani pia kumpeleka kwenye mazoezi hospitali. 


“Mwanangu alizaliwa akiwa mzima lakini alipofikisha miaka mitano akaanza kuugua, nikampeleka hospitali akagundulika kuwa ana ugonjwa wa degedege na amepooza uti wa mgongo hivyo nikaambiwa anahitaji kupelekwa mazoezi kila wiki, kutokana na ugumu wa maisha nikashindwa ndiyo maana namfungia ndani tu,” alisema mama huyo. 


Naye mwenyekiti wa mtaa huo wa Azimio, Mwishehe Issa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na wajumbe wake kudondoka ambapo alisema kwa kupitia vyombo vya habari kwa yeyote akayeguswa ajitokeze kumsaidia msichana huyo

MAGUFULI MKALI WA HIZI KAZI

$
0
0
Mteule wa kuwania urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu ujao, John Pombe Magufuli na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape NNauye wakipiga ngoma.
WAKATI mteule wa Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu ujao, John Pombe Magufuli akifahamika kama mtu makini kwenye utekelezaji wa majukumu yake, imethibitika kuwa waziri huyo wa Ujenzi pia ni mkali kwenye upigaji wa tumba, Risasi Jumamosi linakupa zaidi.
Hali hiyo imefahamika baada ya gazeti hili kuchimbua matukio mbalimbali ambayo yamemuonyesha mbunge huyo wa Chato akipiga tumba kwa umahiri mkubwa kiasi cha kuwaacha hoi watu wengi.
Mathalan, katika uzinduzi wa daraja la Mbutu, wilayani Nzega mkoa wa Tabora, uliofanyika Januari 7, 2013, Magufuli alionekana akipiga Tumba wakati bendi kongwe ya Msondo Ngoma ikitoa burudani katika hafla hiyo, akiwa sambamba na wanamuziki wa kundi hilo, Shaaban Dede na Hassan Moshi ‘TX Jr.
Licha ya siku hiyo, pia kwa nyakati tofauti Magufuli alionyesha umahiri wake katika kupiga Tumba katika hafla mbalimbali, kama vile wakati wa ziara ya Rais Jakaya Kikwete mkoani Kagera, alipojiunga na kundi la uhamasishaji na burudani la chama hicho tawala, kwa kukitendea haki kifaa hicho cha muziki.
Aidha, wabunge wawili wa upinzani, John Mnyika (Ubungo) na Halima Mdee wa Kawe, watakuwa ni mashuhuda wa uhodari wa Magufuli, kwani katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Msewe- Baruti iliyofanyika miezi michache iliyopita, mteuliwa huyo wa CCM aliifanya tena shughuli hiyo mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria.
Aidha, hivi karibuni wakati akitambulishwa kwa wanachama wa chama hicho kama mgombea wake katika Viwanja vya Zakheem, Mbagala jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Magufuli pia alipiga tumba kwa umahiri wa hali ya juu kabla ya kuhutubia mamia ya wanachama hao.
Mwanamuziki mmoja kutoka bendi moja kubwa nchini aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema Magufuli ni mkali na anaweza kuwafunika wapigaji tumba wengi nchini.
nn
bb
nn

JB AELEZA ALIVYOANZA UIGIZAJI KWA KULAZIMISHWA NA MAMA’KE!

$
0
0
Staa wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’.
WIKI iliyopita, tuliishia kwa kueleza jinsi alivyojitosa rasmi kwenye biashara ya kuuza nafaka za mahindi na mpunga akitoa katika mikoa ya Mbeya na Tanga. Tuliishia kwenye kipengele cha alipougua fangasi.
Je, nini kilifuata? Endelea sasa.“Kilikuwa ni kipindi kigumu mno maishani mwangu, sikuwahi kuwaza hata siku moja kama ningekuja kuugua ugonjwa kama huo,” anasema JB. 
“Basi, maisha yakasonga kama kawaida huku biashara nayo ikizidi kuimarika kwa kuniletea mafanikio mengi, lakini nikiwa katika kilele hicho cha mafanikio, mara nikaanza kukutana na ushawishi wa jambo ambalo sikuwahi kuwaza hata siku moja kama ningeweza kulifanya, jambo lenyewe ni kufanya maigizo,” anasema JB. 

JB anasema mtu aliyeanza kumshawishi ajiingize kwenye mambo ya uigizaji ni msanii mwenzake, Single Mtambalike ‘Richie’. Hata hivyo msanii huyu anaweka wazi kuwa haikuwa kazi rahisi sana kukubaliana na wazo la Richie, lakini kwa jitihada kubwa kutoka kwa Richie pamoja na watu wake wa karibu akiwemo mama yake mzazi, hatimaye alijikuta akikubali kujiunga na kundi la maigizo la Nyota Assemble. 

“Kila nilipokuwa nikikataa, Richie alizidisha ushawishi, lakini pia hata ndugu zangu wa karibu akiwemo mama waliendelea kunisisitiza kuwa nafaa kabisa kuigiza na kwamba ndiyo karama na kipaji ambacho wanaamini Mungu alinizawadia kulingana na wao walivyokuwa wakiniona,” anasema. 

JB anasema, licha ya kukubaliana na wazo la Richie, lakini hakujiunga moja kwa moja, akawa anawaahidi lakini siku ikifika, anaingiza visingizio vingi, hali iliyomlazimu mama yake mzazi kuingilia kati kwa kumuonya na udanganyifu aliokuwa akiwapa wenzake (akina Richie) kwa kuwaahidi jambo ambalo ilikuwa ni ngumu kulitekeleza. 

“Mama ikabidi akomae na mimi bwana, kusema ukweli nilikuwa nimekubali kwa maana ya kuwaridhisha tu lakini sikuwa nimeafiki kwa kumaanisha kabisa, akili na mawazo yangu yote yalikuwa kwenye biashara tu na si kitu kingine,” anasema JB. 

Wakati mazungumzo yanaendelea, ghafla ninamuona JB akinyamaza kimya kidogo huku shingo yake akiwa ameielekeza mahali kwa muda mrefu, nikalazimika kugeuka na kutazama mahali alipokuwa amegeukia. 

Lilikuwa ni kundi la watoto wa mitaani wakipita huku na kule wakitafuta riziki, kufika hapo nikamuona JB akiinuka na kuwapungia mikono kwa ishara ya kuwaita, bila kuchelewa walikuja haraka sana hadi mahali tulipokuwa tumekaa na kumkumbatia JB bila uoga wowote huku naye akionekana kuwafurahia. 

JB alitumia muda mwingi sana kuzungumza na watoto hao akiwatia moyo kuwa maisha ya tabu waliyokuwa wakiishi ni ya muda tu kwamba wasijisikie vibaya huku akiwataka waendelee kuwa na tabia njema kwa watu na kumheshimu kila mtu aliyeko mbele yao, ambapo kwa pamoja watoto hao waliitikia kwa furaha. 

Hapohapo nikamuona JB akilala ubavu kidogo kisha kuchomoa waleti yake ya gharama na kuifungua na kutoa noti nyingi sana nyekundu, akawapa wale watoto waliokuwa zaidi ya 7, kila mmoja shilingi 10,000 na kuwataka watupishe kwa ajili ya mazungumzo yetu. 

“Unajua ipo siri ambayo watu wengi sana hawaijui, ni siri ya kutoa na kusaidia wengine, ili Mungu akubariki, ni lazima uwe na moyo wa kutoa, kusaidia watu kwa kadiri unavyoweza, Mungu hawezi kukuacha kama ulivyo, amini maneno yangu mdogo wangu (mwandishi),” anasema JB huku akifungua chupa yake ya maji na kunywa taratibu. 

“Basi bwana ngoja tuendelee, siku moja nikaona ngoja nikawatembelee kwenye ukumbi wao wa mazoezi, nilipofika nikaanza kwa kuchungulia kwanza kabla sijaingia ndani kabisa, nilichokishuhudia humo sikutaka hata kugeuka nyuma, haraka nikaondoka huku nikijiapiza kutorudia tena, na hata mpango wa kujiunga na uigizaji nikautoa kabisa akilini mwangu,” anasema JB.
Je, JB ameona nini? Usikose kufuatillia wiki ijayo.

PICHA DIAMOND AKIWA KWENYE MAANDALI YA SHOWA YA TUZO ZA MTV

KIKONGWE WA MIAKA 69 ATUPIA VAZI LA UFUKWENI.

POZI TATA LA WEMA SEPETU NA MENEJA WAKE.


BREAKING NEWS.... RAIS MTARAJIWA AJIUNGA MTANDAO WA KIJAMII TWITTER.

$
0
0
RAIS JAKAYA KIKWETE HAMSAIDIA KU RETWEET POST ZAKE.
Alikuwa ni mgombea pekee asiyekuwepo kwenye mitandao ya kijamii.Ana post tano izo hapo chini,follower 3962 na following 10 wakiwepo wagombea wenzake Bernard Membe,January Makamba na David Nyarandu.

Nasema haya kutoka moyoni, nasema haya kwa dhati kabisa. Nawahakikishia nitakuwa nanyi, nitakuwa mtumishi wenu kweli kweli. - JPM

Sasa ni wakati wa ndugu zangu watia nia wote 37, kuungana kupeperusha bendera ya Chama, kushinda kwa kishindo & kuwatumikia wananchi. - JPM

Idadi ya kura za Wajumbe katika kunipitisha kuwa Mgombea Urais ni uthibitisho wazi kwamba CCM ni moja, na wana CCM ni wamoja. - JPM

Nitumeni, nami nitawatumikia. Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi, kwamba kimekubali kunituma kuomba ridhaa ya kuwatumikia Watanzania. - JPM

Nimepewa heshima kubwa sana na dhahiri. Naahidi kuilipa heshima hii kwa kuinadi na kuitekeleza Ilani ya CCM katika kujenga Taifa letu. - JPM

WAKATI WEMA SEPETU AKISUGUA GAGA NA UBUNGE HUKO SINGIDA, TAZAMA ZARI ANACHOKIFANYA HUKO UGANDA,

WAZEE WA KIMILA WAMWANGUKIA LOWASSA, SOMA HAPA WALICHOSEMA

$
0
0
Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Monduli kwa niaba ya Malaigwanan, Mzee Joseph Mesopiro kutoka Kata ya Sepeko wilayani humo alisema viongozi wa mila wanakusudia kutuma ujumbe maalumu kwa Lowassa kumshauri asihame CCM kama baadhi ya watu aliowaita wapambe wanavyomshauri.

KIMENUKA MBAYA! MFANYAKAZI HUYU CLOUDS MBARONI!

$
0
0

Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Clouds Media Group anayedaiwa kutiwa mbaloni kwa utapeli.
MREMBO aliyetajwa kwa jina la Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Clouds Media Group amejikuta akitiwa mbaroni kwa madai ya kutapeli mamilioni ya shilingi ya wafanyakazi wenzake na marafiki aliosoma nao.
Taarifa zilizotua kwenye gazeti hili zinadai kuwa, Cynthia alitiwa rumande katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar Julai 13, mwaka huu.
Ilidaiwa kuwa, mrembo huyo ambaye kwa sasa ameachishwa kazi kwenye   


ALICHOKISEMA BABY MADAHA KUHUSU MAGUFULI, SOMA HAPA

$
0
0
STAA wa filamu na muziki, Baby Madaha amesema endapo mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atakuwa rais, anaamini nchi itakuwa na maendeleo zaidi.
Akipiga stori na gazeti hili, Baby Madaha alisema kwamba amefurahia sana ushindi wa Magufuli kwani ni kiongozi bora anayependa maendeleo hivyo akifanikiwa kuwa rais ataendeleza pale alipoachia Jakaya Kikwete.
“Nimefurahia sana uteuzi wa Magufuli kwani hana kashfa yoyote pia ni mchapakazi mfano tunauona kwenye barabara nyingi zimejengwa vizuri na zinapitika tofauti na zamani,” alisema Baby Madaha.

MTANGAZAJI MAARUFU WA ITV ACHUKUWA FOMU YA UBUNGE.

TABIA MPYA YA ZARI YAZUA TAHARUKI DIAMOND AKIMBILIA KWA DAKTARI KUJUA ENDAPO MTOTO ATAPATA MADHARA

$
0
0
Tabia mpya ya Zari katika kipindi hiki cha mwisho cha ujauzito wake ilizua taharuki kwa familia ya kina Diamond, Zari alianza kupenda kunywa maziwa na mtindi kwa wingi kitu ambacho kilileta hofu kwa familia. hapo ndipo walipoamua kumtafuta
daktari ili kujua unywaji maziwa na mtindi kupita kiasi ufanywao na Zari katika kipindi hiki una madhara yoyote? Majibu ya daktari nayo yalileta utata. 

TEAM KIBA NA TEAM WEMA WATAZIMIA WAKISOMA ALICHOKIANDIKA HAPA DIAMOND PLATINUMZ

BERNARD MEMBE AMUONYA VIKALI MGOMBEA MWENZAKE WA URAIS.

$
0
0
"Kama umeshindwa kwenye masuala ya kisiasa usile njama kuwaondoa wenzako, huo ni ushetani, kama tukianza kumomonyoa maadili ya uongozi kwa kuleta watu ilimradi watu heshima ya nchi yetu itashuka". Hii ni kauli iliyotolewa leo na aliyekuwa mtia nia ya Urais, Mh Bernad Membe.

WAKATI DIAMOND AKIWA AFRIKA KUSINI JIONEE ALI KIBA ALICHOANDIKA KWENYE PAGE TA ZARI

WATU HAWAFAI MMMH AZUGA ATAUZA MISHIKAKI YA MBUZI SIKU YA LEO SIKU KUU KUMBE ACHINJA KITOWEO HICHI MMH WATU WASHITUKA KUMKUTA NA KUMPA KICHAPO

WEMA SEPETU AMWANGUKIA KAJALA!,BIFU LAFIKA TAMATI

$
0
0

Staa wa filamu za bongo, Wema Sepetu ‘Madam’.
HAKUNA mwanzo usiyokuwa na mwisho! Huu ni usemi pekee ambao umejidhihirisha kwa Mkurugenzi wa Endless Fame Production na mbunge mtarajiwa wa Viti Maalum mkoani Singida kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wema Isaac Sepetu baada ya kumwangukia aliyekuwa shostito wake, Kajala Masanja ‘Kay’. 
Wema na Kajala wamekuwa na bifu zito lililokuwa likichukua sura mpya kila kukicha kufuatia wawili hao kutokusameheana, kutukanana na kukashifiana ambapo Wema alifikia hatua ya kumwita mwenzake ‘bogasi’ na yeye (Kajala) akamwita chizi.
Tukio la Wema kujishusha na kutoa kauli ya kusema yuko tayari kumsamehe Kajala aliitoa mbele ya mwandishi wetu, Julai 15, mwaka huu ndani ya Ofisi za gazeti hili, Bamaga-Mwenge jijini Dar.
Kajala Masanja ‘Kay’.


Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>