Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

MKE WA MH MAGUFULI AHANZA RASMI KUWEKA TABASAMU LA KI FIRST LADY.

$
0
0
MKE WA MH JOHN MAGUFULI,RAILA ODINGAH NA MAGUFULI MAPEMA LEO.





DIAMOND APATA UGONJWA WA AJABU SEHEMU ZA SIRI ALIA KWA MAUMIVU.

VIDEO:MANENO YA MWISHO YA MSANII BANZA STONE

MWANAMAMA ALIYETIKISA MITANDAO LEO ASUBUHI ,KAUMBIKA

WAPENZI HAWA WAFARIKI DUNIA KWA KUDONDOKA KUTOKA GHOROFA YA TANO WALIKO KUWA WAKIFANYA MAPENZI PEMBEZONI MWA DIRISHA...

$
0
0

watu hawa inaodaiwa kuwa ni wapenzi wamedondoka kutoka ghorofani..sababu hasa kilichofanya mpaka umauti uwafike kwa namna hiyo bado haijajulikana hali ambayo imewafanya wengi
kushikwa na bumbuwazi ...Japo wengi wanadai wapenzi hao walikuwa wakionekana hata kwa wapita njia wakifanya mapenzi dirishani na hivyo kuna uwezekno kuwa mwanaume alikosa balance na hivyo

PENNY AMUANDIKIA UJUMBE MZITO DIAMOND PLATINUMS

$
0
0
There's a special place in my heart for the ones who were still with me at my lowest.
..the ones that loved me when I wasn't very lovable"-Penny captioned the photo bellow

MAAJABU DUNIANI:MTOTO WA MIAKA 10 AJIFUNGUA MTOTO SALAMA.

$
0
0
KENYA
wakati wanaharakati mbalimbali duniani wakipambana kupinga ukatili kwa watoto,huko nchini kenya mtoto glad chelagat mwenye miaka kumi amepata jukumu la kumlea mtoto,mtoto huyu anakuwa mama mdogo zaidi duniani.maajabu haya yalitokea jumamosi
iliyopita katika hospitali ya Kericho nchini Kenya.hata hivyo mungu mkubwa kwani mbali na umri wa mtoto huyu kuwa mdogo lakini alijifungua pasipo na matatizo yoyote kama ambavyo ilihofiwa na wataalamu wa afya wa hospitali hiyo

MKE AMFANYIA TENDO LA AIBU MUMEWE.


PICHA ZA KWANZA RED CARPET TUZO ZA MTV KUTOKA SOUTH AFRICA

$
0
0

Leo July 18 ndio Tuzo za MTV MAMA 2015 zinatoka huko South Africa Darban na kutoka Nyumbani hapa Tanzania Tunawasanii wawili ambao wameingia kwenye Tuzo hizo, Vanessa Mdee pamoja na Diamond Platnumz, na Taarifa
nilizopata no Mwamba Diamond atapanda kupaform itakapofika SAA tank kamili kwa SAA za Afrika Mashariki,

Endelea kutembelea HZB tutakupa Taarifa zote za Kinachoendelea katika Tuzo hizo. 


WAKATI WEMA SEPETU AKISUGUA GAGA NA UBUNGE HUKO SINGIDA, TAZAMA ZARI ANACHOKIFANYA HUKO UGANDA,

WEMA SEPETU AMUIBUKIA DIAMOND SOUTH AFRICA

$
0
0

The rumours from Durban, South Africa says that the Queen of Bongo Movies Miss Wema Sepetu was surprisingly seen in the streets of Durban this evening. Diamond is expected to perform in the MAMA Awards tomorrow so he is also in the same city since yesterday. Stay with us for more info and Picture. 

VIDEO SUPER STAR DIAMOND ALIVYONYAKUA TUZO JANA USIKU

PICHA ZA MTV MAMA 2015 ,WASHINDI WOTE HAWA HAPA

$
0
0
Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti naVee Money alikuwa kwenye Category moja.
List ya Washindi wote hii hapa..
Best Female:
Yemi Alade (Nigeria) >>> Mshindi.
Bucie (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Seyi Shay (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Best Male:
Davido (Nigeria) >>> Mshindi
AKA (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)
Best Group:
P Square (Nigeria) >>> Washindi.
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act Transformed by Absolut:
Patoranking (Nigeria) >>> Mshindi.
Anna Joyce (Angola)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Stonebwoy (Ghana)
Best Hip Hop: 
Cassper Nyovest (South Africa) >>> Mshindi.
K.O. (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Youssoupha (DRC)
Best Collaboration:
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (South Africa/ Nigeria) >>> Washindi.
Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)
Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Kenya/Nigeria)
Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)
Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)
Song of the Year:
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)>>> Washindi.
Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)
Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)
DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)
K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)
Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)
Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)
Toofan: “Gweta” (Togo)
Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)
Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)
Best Live:
Diamond Platnumz (Tanzania) >>> Mshindi.
Big Nuz (South Africa)
Flavour (Nigeria)
Mi Casa (South Africa)
Toofan (Togo)
Video of the Year:
“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw >>> Mshindi.
“Crazy” – Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi
“Doors” – Prime Circle; Director: Ryan Kruger
“Love You Everyday” – Bebe Cool; Director: Clarence Peters
“The Sound” – Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan
Best Pop & Alternative:
Jeremy Loops (South Africa) >>> Mshindi.
Fuse ODG (Ghana)
Jimmy Nevis (South Africa)
Nneka (Nigeria)
Prime Circle (South Africa)
Best Francophone:
DJ Arafat (Ivory Coast) >>> Mshindi.
Jovi (Cameroon)
Laurette Le Pearle (DRC)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Toofan (Togo)
Best Lusophone:
Ary (Angola) >>> Mshindi
B4 (Angola)
Nelson Freitas (Cape Verde)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)
Personality of the Year: 
Trevor Noah (South Africa) >>> Mshindi.
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Yaya Toure (Ivory Coast)
MAMA Evolution (Category mpya): D’Banj (Nigeria) >>>> Mshindi.
Best International: Nicki Minaj (Mshindi)
Artist of the Decade: P Square (Washindi)
MTV Base Leadership Award: Saran Kaba Jones & S’Bu Mavundla (Washindi)
























BREAKING NEWS : MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI

$
0
0
Wananchi wakilitazama  Mv. Kigamboni baada ya  kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari  baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni
 Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni  likiwemo gari maalumu bla kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na blilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa 
dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA 
KHAMISI MUSSA)

ZARI BOSS LADY AFUNGUKA MARA BAADA YA DIAMOPND PLATINUMS KUCHUKUA TUZO JIONEE ZARI ALICHOSEMA

$
0
0

This is what Zari written tonight before and after the MTV MAMA shows where diamond Platnumz Tanzanian Hit maker winning Best Live act in durban!! MUST READ!!.
Before the show she written: Wishing you all the best tonight my Love.... this courage message prove how she support her boyfriend and the after the show she posted:Y'all ready know. Best live Act goes to ma baby diamond platnumz yippppppyyyyy.... thanks to all who voted. 



DIAMOND NA DAVIDO HALI TETE LANUKISHWA UPYA JIONEE WALIVYOTUKANANA

THE MAGAZETI YA BONGO LEO SUNDAY /JUMAPILI 19/7/2015 LIVE!!

REGINALI MENGI AWALIPUWA WAFANYA BIASHARA WA MADAWA YA KULEVYA.

MSANII WA BONGO FLEVA NA MSANII WA BONGO MOVIE WAAMKA PAMOJA.

$
0
0
SHAMSA FORD NA NEY WA MITEGO WANAOKANUSHA SIO WAPENZI,

DIAMOND PLATNUM TUZO ZA MTV MAMA ZILIKUWA ZINAMNYIMA USINGIZI.

$
0
0

SASA APATA USINGIZI MNONO.

DIAMOND PLATNUM AKIWA AMELALA BAADA YA KUPATA TUZO ILIYOKUWA INA MUUMIZA KICHWA KUTOKANA NA BAADHI YA WATANZANIA KUTOMPIGIA KURA.AKUMBUKA MANENO YAKE MUMUACHE ALALE.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>